Kwa hivyo hayo maneno nimescreenshot si yako? This is one of the pictures I posted kwa comment yangu ukayakataa eti sio Dar. Mbona unakataa maneno yako mwenyewe?Ngoja nitafute zile nlizozikataa co hzo ndugu, hzo c zimetajwa kabisa apo Vingunguti nakataaje ss,
Usi screen shot we lete comment ya hii af nkuoneshe picha ambazo c za Dar na huwez prove kwmb ni Dar hata ukiwekewa bunduki mdomoniLook at you now!! Sasa unakataa hadi maneno yako mwenyewe?!! This is what you said after I posted a picture of Dar ambayo ulikataa na kusema sio Dar. Acha kuingiza Matrixx kwa mambo haelewi. Look at what I posted and your responseView attachment 1400910View attachment 1400911
I told you that you can run but you can't hide
Kwa hivyo hayo maneno kwenye screenshot si yako?Usi screen shot we lete comment ya hii af nkuoneshe picha ambazo c za Dar na huwez prove kwmb ni Dar hata ukiwekewa bunduki mdomoni
Why are you posting one same picture a million times. Is that where desperation has taken you?View attachment 1400220
Munaongea sana twende mdogo mdogo View attachment 1400220View attachment 1400220
Nairobi kuna slums if that's what you want to hear. We do not live in denial kama nyinyi. Secondly, wenye wamejenga nyumba zao Nairobi have decent houses, not some squalors christened dream houses. Nenda Ruai,Utawala na Syokimau uone the kind of houses people build in NairobiSasa we nawe mbona mnatakataka kibao Nairobi kwann usizipost alafu uandike maneno kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu za kawaida but they are a million times better than your uswazi hovels
Najua wewe na kizungu ni Kama maji na mafuta but do you know the meaning of the word "investor"?Huyo atapost estates za investors lkini mwambie akuoneshe nyumba zinazomilikiwa na wakenya hakuna zaidi ya slums mark my words😂😂😂😂😂
Nionyeshe ni picha gani si ya Dar nikuaibisheKwny hyo picha yapo maeneo ni Dar ila mengine cjaweza kuyafahamu ni wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo maneno ni yng na nilikwambia kwmb hzo co za Dar kwmb miongoni mwa zile picha ulizopost zpo za Dar lkn ulichanganya na za kibera pamoja na za lagos the same way mkenya mwenzio matrixx has been doing so in here.Kwa hivyo hayo maneno kwenye screenshot si yako?
Hawa mabeberu si watu wazuri hata kidogo. Mbona wanaamua kujenga Kenya na kusahau Tanzania? 😂 😂 😂 Huo ni hujumaNzuri kwel, mabeberu mbna hawana huruma na tanzania, si wawapumzishe kiasi manake kila kukicha wanajiskia kujenga kenya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi inategemea na aina ya nyumba unayohitaji iko wapi piaHizo dream house mtu hulipa Shilingi ngapi rent? Hiyo hata elfu moja siwezi lipa
Leta hizo picha nilichanganya nione. I only posted two photos are here they areHayo maneno ni yng na nilikwambia kwmb hzo co za Dar kwmb miongoni mwa zile picha ulizopost zpo za Dar lkn ulichanganya na za kibera pamoja na za lagos the same way mkenya mwenzio matrixx has been doing so in here.
I thought everybody owns a house in Dar?? Kumbe kunao na wanaokodisha hizo dream house? I kent!!
Haya hii ni Dar ya wapi[emoji116][emoji116]Leta hizo picha nilichanganya nione. I only posted two photos are here they are View attachment 1400929View attachment 1400930
Gani ndio ya kibera kati ya hizo mbili?
wakuu barabara ya bagamoyo road...kwa pale airtel moroco ukitokea city center nimeona bango la ujenzi wa barabara, pia tegeta naona ujenzi unafanyika wakisawazisha sehemu za kati za barabara na kutanua mwenye info atupe fununu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh aiseee nairobi ni kama peponi,,,,daah mzee unamaisha mazuri zaidi ya panya buku...NAIROBI View attachment 1400628View attachment 1400629View attachment 1400630View attachment 1400631View attachment 1400632View attachment 1400633View attachment 1400634View attachment 1400635View attachment 1400636View attachment 1400637View attachment 1400638View attachment 1400639View attachment 1400640View attachment 1400641View attachment 1400642View attachment 1400643View attachment 1400644View attachment 1400645View attachment 1400646View attachment 1400647View attachment 1400628View attachment 1400629View attachment 1400630View attachment 1400631View attachment 1400632View attachment 1400633View attachment 1400634View attachment 1400635View attachment 1400636View attachment 1400637View attachment 1400638View attachment 1400639View attachment 1400640View attachment 1400641View attachment 1400642View attachment 1400643View attachment 1400644View attachment 1400645View attachment 1400646View attachment 1400647
Their biggest achievement in life ni kujenga dream house Dar. 😂 😂Ndio nashangaa mwenzako, wabongo tatizo lao ukitoa wachaga vijiji vyao havina mbele wala nyuma..
Ndio manake wanazidi kungangania dar tu.. yani rais akistaafu anabaki dar, mzee akistaafu vile vile,vijana wa mikoani nao wanakimbilia dar halafu wanatarajia mji usifurike na dream houses
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili ya maumivu kwa mtu anamiliki dream house mbele na nyuma 😂 😂 😂duuh aiseee nairobi ni kama peponi,,,,daah mzee unamaisha mazuri zaidi ya panya buku...
hapo si dubai hiyo au london?
Sent using Jamii Forums mobile app