Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndo official data! ila napenda wamarekani ndo waondoke wengi.. hasa rais wao Trump madarakan! wanajifanya wababe sana
View attachment 1396907

official link Coronavirus Update (Live): 349,841 Cases and 15,307 Deaths from COVID-19 Virus Outbreak - Worldometer
Aisee huu ugonjwa unaenda kuleta usawa flani duniani, co km nashangilia lkn wazungu ni washenzi sn, huwa wakilipoti habari za Africa utasikia vita, magonjwa, siasa huwezi kuta wameripoti SGR from dar to makutupora au stiglers gorge washenzi sn, na Mungu mkubwa huu ugonjwa hauna nguvu Africa, mm juzi nmeumwa mafua makali Sana lkn nshapona angekuwa mzungu angelazwa lkn mwafrika hadhuliki na mafua ya aina yyte ile amini kwmb, cc tuogope Ebola lkn co covid19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha yani kila mahali mmezungukwa na matope

Sent using Jamii Forums mobile app
Matope kila mahali indeed!
Compare and contrast
kibera-nairobi-type.gif
nairobihelicopter3.jpg


Dar
Screenshot_20190801-184138.png
 
Leta source yako na mimi nikupe source yangu watu wajaji ni nani mwenye kufikiri vyema maana hata chizi ana uhakika kudondosha udenda yuko kwenye fikra sahihi
Of course vilaza wenzako watasema unafikiri vyema, what do you expect?
 
Acha uongo those are bachelor entry qualification you fools.hamjui kusoma au mnanitoa akili.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unasisitiza na wewe si mkenya? Kuja Kenya ufanye KCSE ukibahatika kupata grade C fanya nayo hiyo medicine tuone. You will be the first person in Kenya to do medicine with grade C
 
Back
Top Bottom