Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hz picha cjawahi kuzikataa, nilizozikataa anajua alipozitoa jamaa yenu matrixx, pia hapo kinachozingua ni ujenzi holela ambao hata mm cufurahii, ni makosa ya Tz ile iliyolala co ya ss, pia makazi mengi hapo yamebomolewa kupisha ujenzi, lkn pia usisahau hakuna slum apo hata ukilia huwezi badili ukweli huo ndugu.
 
Eti hizi nyumba ni 4.5 million kujenga?? πŸ˜‚ πŸ˜‚
pesa za Kenya au Tanzania?
 
Look at you now!! Sasa unakataa hadi maneno yako mwenyewe?!! This is what you said after I posted a picture of Dar ambayo ulikataa na kusema sio Dar. Acha kuingiza Matrixx kwa mambo haelewi. Look at what I posted and your response
I told you that you can run but you can't hide
 
Sema kakomaa sana halafu nywele zimeanzia katikati ya kichwa chake ndio maana ana ubishi wa kishamba,
Halafu kama sio yeye ni nini kilimfanya aifute siku zile [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ngoja nitafute zile nlizozikataa co hzo ndugu, hzo c zimetajwa kabisa apo Vingunguti nakataaje ss,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…