Atakuambia ni za mabeberu π πMbna hii hifanani na hyo na bado hatuja zoom[emoji23][emoji23]View attachment 1397930
Sent using Jamii Forums mobile app
Stop running away from facts. Mtanzania bora ashajenga dream house yake moja Dar ya rooms tatu amefanikiwa maishani. Any other thing is not important. And by the way, kama Dar ndio mnajenga hizi takataka sasa vijijini mnajenga nini?That is the weakness of your land systems πππkujenga dar hainiondolei ruhusa/fursa kujenga kijijini kwetu, na sio lazima nijenge kijiji kwetu naenda kujenga hata region nyingine ndani ya nchi yangu nitakako penda mwenyewe unlike you poor Kenyans infected with tribalism πππ
Of course this is the best. Don't you think so? π π πStill upo kwenye shida moja tu ya mpangilio wa makazi πhatujawahi kuwa na conclusion juu ya ipi ni the best settlements organization
Muongeze na hizi zingine za mabeberu π π πMbna hii hifanani na hyo na bado hatuja zoom[emoji23][emoji23]View attachment 1397930
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vilaza ni kama wanataka tujenge uswazi Nairobi kama wao ndio wafurahiUnaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...
Jenga mjengo wa hadhi kwenu, halafu uongezee na rentals juu upige hela hku wewe ukibagi kupiga kazi mjini...siku una staafu hta ukirudi kupumzika unatulia katika mjengo bila stree hku ukila kodi..
Hata wanao wakikusahau utakua umeshajipanga na kashamba kiasi tu ka kujikip busy ukilimalima
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly. But we have to understand them. Standards zao ndio ziko chini ndio maana wanaita zile changaduo dream housesKibanda cha room tatu nairobi basi si utaishia katika category ya kwenye slums...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwa hujielewi siku zote. Jack Ma donated these equipment to all African countries Tanzania included. Not just African countries but even America itself. Mr geography, do some research before laying bare your ignorancewazee wa GDP utaskia wanaanza kuuzaππππ
Kama ako tu na pesa ya kujenga dream house yake ya rooms tatu Dar ya kuinvest in real estate atoe wapi?
Kule uswazi hata sewer system ndo hawana. Kuna tofauti gani Na kibera which lacks tye same?Ndio ujue wamewashinda watu wa uswazi wengi sana...
Hao jamaa wana vipato hata kuwaliko watu wengi sana wa uswazi..
Uswazi ni mwendo wa mkaa tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumi Wapi??? π π π Their best neighbourhood ni Masaki na yenyewe ni kama tu Kileleshwa ama Lavington
Ngoma kweli imekuwa nzito kwako. Kwa hivyo unakataa Dar mchana peupe. He's hivyo hata hiyo brt hapo pembeni huoni?? Anyway, you are not the first Tanzanian to deny picha za Dar. Ichoboy did the same until he could deny no more. Hapo ni Dar jombaKwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we nawe mbona mnatakataka kibao Nairobi kwann usizipost alafu uandike maneno kama hayoMtu mwenye ana pesa hawezijenga nyumba kama hizi tena ndani ya jiji kisha awe proudView attachment 1400090View attachment 1400091
These are ordinary houses that should only be found in villages.
Vitu vya kawaida sana au ww unaona apo Ni paradise?Muongeze na hizi zingine za mabeberu [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1400097View attachment 1400099View attachment 1400100View attachment 1400102View attachment 1400103View attachment 1400104View attachment 1400106
Halafu mtu anajivunia kumiliki dream house. Watu wengine hawana hata aibu
Hhehehe hapo ndipo utajua mzungu anaakili sanaπππππSs hz ni slums, ngj tulinganishe basi
Dar vs Nairobi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1399971View attachment 1399972View attachment 1399973View attachment 1399974
Huyo atapost estates za investors lkini mwambie akuoneshe nyumba zinazomilikiwa na wakenya hakuna zaidi ya slums mark my wordsπππππ
Kwny hyo picha yapo maeneo ni Dar ila mengine cjaweza kuyafahamu ni wapi [emoji3][emoji3][emoji3]Ngoma kweli imekuwa nzito kwako. Kwa hivyo unakataa Dar mchana peupe. He's hivyo hata hiyo brt hapo pembeni huoni?? Anyway, you are not the first Tanzanian to deny picha za Dar. Ichoboy did the same until he could deny no more. Hapo ni Dar jomba
Ni mashetani sn yn hii hali ya Spain+Italy = US (ingependeza ikawa hivyo yn dunia kdg itapumua)Huu ndu upuuzi na ubabe wa Marekan siupendi. Venezuela ni namba moja kwa reserve kubwa ya mafuta dunian