Sasa wewe unajivunia nini kujenga danguro jijini Na kuiita dream house? Kama hiyo ndio umejenga jijini, I can only imagine what you've built upcountry[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana,,,yaani kwake ni kitu cha ajabu na kajivunia mwenyewe,,,, unasimama mbele ya wanaume halafu unajisifu kuwa umepanga kwenye estate wakati hata mademu nao wamepanga.....
huyo jamaa ni kichaaa ansumwa kifafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana wakenya mna maisha magumu sn hapa EA hammiliki ardhi ndani ya nchi yenu, Dah aisee hiyo dhambi aliileta baba yake Kenyatta hyo
Nairobi sio ile glorified fishing village yenu ambayo ardhi ni Shilingi mbili[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umempa ya uso tena kushoto iyo inaitwa kubwa kuliko......eti nairobi hawawezi kujenga,,,,, wanafanya nairobi ni mbinguni. wanakwepana na uhalisia kuwa hawana pesa zakujenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Very necessary acha ubishi wa kitoto pia ikulu aitumiki na MTU mmoja pia kwa ukubwa huo usalama unakuwa vizuri mambo ya kuzuia ujenzi wa magorofa karibu na ikulu kutakuwa hakuna tenaIla is this necessary? kweli 34.5 sq km? why all that opulence?
Ss hz ni slums, ngj tulinganishe basi
Special forceAnawaamini sana Wanajeshi? Kambi ya jeshi Ikulu is a wrong idea!
planned zao ni zile zile tu za estate miaka nenda rudi Ukiwatoa hapo hawana cha kupost...Leta hapa planned areas zote za Nairobi tutakujibu kwa planned areas za Dar, tukisha maliza hilo then tutaenda kwenye unplanned settlements [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaongea kuhusu finishing then you wonder whether the word finishing got a whole new meaning in Tanganyika when they have uswazi hovels all over the place katika ubora zao
Ndio wazilete zote (in small scale) tuzijibu ili wabaki tu na slums zaoplanned zao ni zile zile tu za estate miaka nenda rudi Ukiwatoa hapo hawana cha kupost...
kwani upande wa pili ni vituko haibu tupu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicheka sana hiyo comment yake.
Wanajiona wako successful sana kumiliki hizo dream houses. They forget that some of the houses we rent are ten times better and expensive than those hovels of theirsWao hujiona fahari sana kujenga dream house dar..
Yani mimi nihangaike kujenga mombasa na wakati nina kwetu, jinga sana hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataleta zile vipisi pisi zinazo cover sehemu ndogo ndogo 😂😂😂Ndio wazilete zote (in small scale) tuzijibu ili wabaki tu na slums zao
Kwahyo kwa akili yako mbovu hapo Ndio kila mkazi wa Dar anapoishi?tumia akili ndogo ulionayo sawasawaAcha kutupima akili kijana. Nionyeshe nyumba kama hiyo kwenye hizi picha. Am using these pictures because that's how the rest of Dar looks like View attachment 1399956View attachment 1399957
Mtu mwenye ana pesa hawezijenga nyumba kama hizi tena ndani ya jiji kisha awe proudKama pesa ipo unajenga tu shida iko wap...uko kwenu ndio kuna nn so far?au ufahari tu
Sent using Jamii Forums mobile app