Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyo jamaa ni wakuja aliivamia nairobi achana na mruga ruga huyo,,,,,

hajui kama watu wanajenga mjini pia wanajenga kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema unatumia mkojo kufikiria unaudhika. Even US walipewa those donations. Ebu ona venye watanzania wenzako are begging for those donations.
Sent using Jamii Forums mobile app
So hua munasifu GDP yenye ushuzi wa kazi ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si bora mutatue matatizo yenu kwanza yanakula nyama zenu
 
Wanatafuta wateja kwa complementary πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ lasivo watarudi na abiria wawili

 
Naona anangaika kuokota okota picha ovyo sijui za wapi toka asubuhi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Inaonekana sindano anazopigwa humu zinafika penyewe.
Dozi anaipata kweli kweli. Yaani ukishaanza kumuona mtu anapata hasira hivyo uje dawa inafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…