joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ndio sasa wanajua faida ya kununua ndege zao na hasara ya kuwa na ndege za kukodisha, wenye ndege wao hawajui kwamba kulikua na tatizo la Corona mkasimamisha biashara, kwao muamala lazima usome Kama kawaidaWewe subiri uone kamasi vile zitawatoka hapo bado hawajawalipa wenye ndege zao 37subiri usikie loss ya mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app

