Bwahahaa!!mbna imekuuma hvoTutaelewana tu, afu uniambie wanaojenga hawa utawalinganisha na mnaoita middle income kwenu na wamepanga kwenye Estates (zingine ni estate uchwara)!! View attachment 1394677View attachment 1394651
Eti nini? Kadanganye wajinga, Tanzania mpaka uswazi kuna vyumba vya kupangaYou would rather rent...!!!?!
..unaona poa tu kuishi kwa nyumba aliyojenga mwanaume mwenzio..hakuna mtz mwenye hiyo akili you think like a little man..very sorry
Bwahahaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1394710
Just the same way hata sisi pia hatuna akili ya kujenga dangura niite dream house kisha nijione mfanikiwa. Nyumba tunajenga vijijini kaka. Na kwa walio na uwezo wa kumiliki nyumba jijini, they buy decent houses, not squalors Kama hizo za Dar. Mbona huelewi?You would rather rent...!!!?!
..unaona poa tu kuishi kwa nyumba aliyojenga mwanaume mwenzio..hakuna mtz mwenye hiyo akili you think like a little man..very sorry
Wanasemanga eti maendeleo ni Nairobi tu. Tukipost projects outside Nairobi wanadai eti ni kuharibu pesa, that those projects hazina umuhimu wowote kwa taifa, eti wao wanafanya kulingana na mahitaji. The other day one of them was questioning why Kenya is building a dual carriageway from Nairobi to Nakuru arguing that haifai. Very funny creaturesPiteni kimya kimya
Eldoret town ππππ Hata Dark Es Sluum haina Kama hii ππππ
Wenye wivu watokwe povuView attachment 1394983View attachment 1394984View attachment 1394985
Na si eti wote wanamiliki nyumba. Kuna wengi tu ambao wanapinganisha hizo nyumba za uswazi and still feel so proud of living in a dream house. Upumbavu ulioje!Wajinga sana hao jamaa..
Mtu akiwa na kibanda uswazi basi anajikuta katusua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaoishi kwenye nguruwe slums 70% wakazi wote nairobi wako slum wao vp huko ππππππNa si eti wote wanamiliki nyumba. Kuna wengi tu ambao wanapinganisha hizo nyumba za uswazi and still feel so proud of living in a dream house. Upumbavu ulioje!
Dar has five million residents. They want to make us believe that all the five million people own houses! WTF! Asilimia kubwa sana wanapangisha hizo danguro wanaita dream housesEti nini? Kadanganye wajinga, tanzania mpka uswazi kuna vyumba vya kupanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio jina tu mi ni mshamba haswaa yaani ni country boy wa ukweli..mi ni bora kuliko we slum dweller wa dandoraPapi chulo jina la kishamba!
Slums do not even cover a third of Nairobi and they are in selected areas. The biggest slum, Kibera, is only 2.5 square kilometres. Lakini kule Dar dream houses zimeteka jiji nzima nyara hakuna pa kupumuliaNa wanaoishi kwenye nguruwe slums 70% wakazi wote nairobi wako slum wao vp huko ππππππ
Lakini cha kuskitisha imebeba 70% of Nairobi population na hapo ndipo mzungu anachoka na anaamua kuigeuza kua national parkππSlums do not even cover a third of Nairobi and they are in selected areas. The biggest slum, Kibera, is only 2.5 square kilometres. Lakini kule Dar dream houses zimeteka jiji nzima nyara hakuna pa kupumulia
Tulia dawa ikuingie kwanzaπππππNixcie feed this dar slum rats with facts,they βve been measured and found wanting!
Nairobi imezungukwa na slums na hatusemi hapaππππππ google earth inashindwa kuchambua yani mzungu asione slum dar aone nairobi unaganya waty wapuuzi humuView attachment 1395020
Wewe dream house yako unaimilki ukiwa wapi? π π π πLakini cha kuskitisha imebeba 70% of nairobi population na hapo ndipo mzungu anachoka na anaamua kuigeuza kua national parkππ
πππππππYouβre just a clown nothing more.Mjaluo pia ni binadamu.Stop misquoting peopleβs text stupid!
Hutapata slum Dar mpaka yesu anashuka πππ na utahangaika sana munamuona mzungu mjinga sana hana akiliWewe dream house yako unaimilki ukiwa wapi? π π π π
Huyu kijana wa geography niachie mimi. I will put him in his rightful placeNixcie feed this dar slum rats with facts,they βve been measured and found wanting!
Suswa slum!?! π π π ππππππππ
View attachment 1395022
Uhehehheππππππ hapa sio nairalandSuswa slum!?! π π π π
I have stayed in Nairobi for more than ten years but I have never heard of a place called Suswa. Suswa ninayojua unapatikana Nakuru County