Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naamini Kama hao viongozi wao wangetumia akili kutafakari wasingekubali kujengewa hivyo na kuletewa mitungi ya chang'aa. Tatizo matumbo yalichukua nafasi ya kichwa.
Ninyi wakenya mna matatizo makubwa ya akili. Reli ya umeme inatumika na Diesel locomotives pia, kwanini msingejenga reli ya umeme kama tunavyojenga sisi, lakini mkanunua locomotive za Diesel hadi mtakapokua na umeme wa kutosha?.

Ukweli ni kwamba, kamwe hamkuwahi kufikiria kujenga reli ya umeme, Viongozi wenu wana uwezo mdogo sana wa kufikiria mbele , wao tangu mwanzo walikua na mtazamo kwamba Kenya haina umeme wa kutosha, kilichowafumbua macho ni waliposikia Tanzania inajenga reli ya umeme, ndio nao wakaona kumbe inawezekana kuweka umeme katika reli yenu. Kamwe hiyo reli haitowekwa umeme

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slipway Art Gallery

1137721_16093019200047193381.jpg

craft-stalls-hotel-slipway-dar-es-salaam-tanzania-gf7b2k.jpg
 
Nyinyi kila kitu mnaposhindwa ni ya karatasi. Si mko na tabu mibongo!
Hadi 22 mwaka wa uchaguzi wenu dunia na Kenya lazima zitapiga wimbo wa tz sisi hatutaki maneno mingi niliwaambia huu mwaka huu lazima mtii IMF & World bank wate lazima wataikana Kenya mbele ya tz we sebiri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi wakenya mna matatizo makubwa ya akili. Reli ya umeme inatumika na Diesel locomotives pia, kwanini msingejenga reli ya umeme kama tunavyojenga sisi, lakini mkanunua locomotive za Diesel hadi mtakapokua na umeme wa kutosha?.

Ukweli ni kwamba, kamwe hamkuwahi kufikiria kujenga reli ya umeme, Viongozi wenu wana uwezo mdogo sana wa kufikiria mbele , wao tangu mwanzo walikua na mtazamo kwamba Kenya haina umeme wa kutosha, kilichowafumbua macho ni waliposikia Tanzania inajenga reli ya umeme, ndio nao wakaona kumbe inawezekana kuweka umeme katika reli yenu. Kamwe hiyo reli haitowekwa umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha walichapwa na bill ya $400mln hapo bila transmission line na new electrical engines! Siku zote Tanzania ni trendsetter!
 
Back
Top Bottom