Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,174
- 29,788
Ghana x4 = Tanzania economic uchumi wa Ghana ni kwenye karatasi tu Ghana aina tofauti Na uganda
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Ghana x4 = Tanzania economic uchumi wa Ghana ni kwenye karatasi tu Ghana aina tofauti Na uganda
Pia usisahau wanatakiwa wafanye continous welding for the whole track aside ku-upgrade reli yao (things like cant angle gradient n curvature radius) ili ihimili 160 km/h speed na axle load 35 toka 25 tones!Wakitaka tuende sawa waweke miundombinu ya umeme na wanunue treni mpya, kitu ambacho nikigumu sana kutelelezeka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya kuweka umeme(jambo ambalo pia hawawezi), hakuna kinachobadilika. Kasi ya train inategemea zaidi na jinsi reli ilivyokua "designed", kama wakati wa kujenga walidesign speed ya 120Km/hr, huwezi kwenda zaidi ya hapo kwasababu ya (Centrifuge & Centripetal forces)Pia usisahau wanatakiwa wafanye continous welding for the whole track aside ku-upgrade reli yao (things like cant angle gradient n curvature radius) ili ihimili 160 km/h speed na axle load 35 toka 25 tones!
In short Chinese first class wanapaswa waanze upya na design joto la jiwe anajua hii maneno vizuri !
CC: Teargass Nicxie mwaswast Zigi Rizla sevenup Depay komora096 pingli-nywee Matrixx
Haha hapa nilikuwa naangalia relation kati ya cant angles na centrifugal forces! Mchina itakuwa alitumia majani ya upupu kuwachamba maana hili dude chinese first class limewabana vibaya mno!Zaidi ya kuweka umeme(jambo ambalo pia hawawezi), hakuna kinachobadilika. Kasi ya train inategemea zaidi na jinsi reli ilivyokua "designed", kama wakati wa kujenga walidesign speed ya 120Km/hr, huwezi kwenda zaidi ya hapo kwasababu ya (Centrifuge & Centripetal forces)
Sent using Jamii Forums mobile app
"Old technology" Can you elaborate on this in regards to Kenya SGR? And just to remind you, bullet trains do not travel at 160km/hr. Those are ordinary speeds achieved by any electric trains. Go to Japan and other developed countries and see what bullet trains are and you will keep the superlatives to yourself hadi ujihurumieThe fact that your trains uses old technology but were manufactured few years back, does not make them new. If you go to Hospital and they use non disposable, disposable syringes, even if those syringes were manufactured two weeks back, they are termed as old syringes compared to disposable syringes which were manufactured three months back.
My friend, the difference of 40km/hr, is more than enough to make your trains very inferior to our modern, faster and full automatic superior bullet trains.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi kila kitu mnaposhindwa ni ya karatasi. Si mko na tabu mibongo!Ghana x4 = Tanzania economic uchumi wa Ghana ni kwenye karatasi tu Ghana aina tofauti Na uganda
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kenyan SGR was designed in a way that it can be converted to electric rail anytime. The government resorted to diesel rail considering that we still do not produce enough electricity to support electic trains, unless we decide to close our industries all together. So unaposema ni kigumu tutekelezwa it just shows how much you are talking about something you have very limited information about, if anyWakitaka tuende sawa waweke miundombinu ya umeme na wanunue treni mpya, kitu ambacho nikigumu sana kutelelezeka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
lini na wapi wakat reli yenyewe imeishia machakani???😅😅😅😅Kenyan SGR was designed in a way that it can be converted to electric rail anytime. The government resorted to diesel rail considering that we still do not produce enough electricity to support electic trains, unless we decide to close our industries all together. So unaposema ni kigumu tutekelezwa it just shows how much you are talking about something you have very limited information about, if any
That's illiteracy talkinglini na wapi wakat reli yenyewe imeishia machakani???😅😅😅😅
Ninyi wakenya mna matatizo makubwa ya akili. Reli ya umeme inatumika na Diesel locomotives pia, kwanini msingejenga reli ya umeme kama tunavyojenga sisi, lakini mkanunua locomotive za Diesel hadi mtakapokua na umeme wa kutosha?.Kenyan SGR was designed in a way that it can be converted to electric rail anytime. The government resorted to diesel rail considering that we still do not produce enough electricity to support electic trains, unless we decide to close our industries all together. So unaposema ni kigumu tutekelezwa it just shows how much you are talking about something you have very limited information about, if any
Tanzania trains are full automatic remote controlled train, know you know the difference between old and new technology."Old technology" Can you elaborate on this in regards to Kenya SGR? And just to remind you, bullet trains do not travel at 160km/hr. Those are ordinary speeds achieved by any electric trains. Go to Japan and other developed countries and see what bullet trains are and you will keep the superlatives to yourself hadi ujihurumie
na milllionaires walikosea?🤣🤣🤣Nyinyi kila kitu mnaposhindwa ni ya karatasi. Si mko na tabu mibongo!
hawa labda inawezekana walikurupuka walikuwa na yale mawazo ya kikwete hivyo wakafanya kuwahi ili kupiku mawazo ya kikwete mwisho wa siku kaja mwingine kabadili gia angani....yeye kajiongeza kaona ya umeme ndiyo inayokwenda na wakati na hajakosea....Ninyi wakenya mna matatizo makubwa ya akili. Reli ya umeme inatumika na Diesel locomotives pia, kwanini msingejenga reli ya umeme kama tunavyojenga sisi, lakini mkanunua locomotive za Diesel hadi mtakapokua na umeme wa kutosha?.
Ukweli ni kwamba, kamwe hamkuwahi kufikiria kujenga reli ya umeme, Viongozi wenu wana uwezo mdogo sana wa kufikiria mbele , wao tangu mwanzo walikua na mtazamo kwamba Kenya haina umeme wa kutosha, kilichowafumbua macho ni waliposikia Tanzania inajenga reli ya umeme, ndio nao wakaona kumbe inawezekana kuweka umeme katika reli yenu. Kamwe hiyo reli haitowekwa umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
tunawachapa mdogo mdogo......walikuwa wakitamba hapana milllionaires walikosea?![]()
Mfunge viwanda kisa nn?unafaham umeme kiasi gani unahitajika kuendesha treni?yawezekana hujui chochoteKenyan SGR was designed in a way that it can be converted to electric rail anytime. The government resorted to diesel rail considering that we still do not produce enough electricity to support electic trains, unless we decide to close our industries all together. So unaposema ni kigumu tutekelezwa it just shows how much you are talking about something you have very limited information about, if any