Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Still waiting for Tanzania vs Ghana economy go change the topic?
Utatulizwa wala usihofu na ndio maana nakuita mgeni kwmb ww pia ni miongoni mwa wakenya waliokuwa wanadhani hii ni tz ya 90s ss utapaswa kupewa dozi zako na utaenda kuhadithia wenzako ili mbadili mindset zenu about the Giant Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last time l checked TZ has a kibanda for museum.Post photos za hiyo kibanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
U call this Kibanda

Photo-4-300x225.jpg


Dar-es-Salaam-National-Museum-Entrance-1024x682.jpg


images
 
Nairobi commuter rail was built long before we even knew kutakuwa na kitu inaitwa SGR. I don't understand why you are trying to connect it to the Chinese. Wait a minute, does Dar is slum even have a commuter rail?
Tumia akili wewe pimbi, mbona ubongo wako ni butu kiasi hicho?, tunatumia hilo neno ili kuwacheka na kuwatania katika mambo yote yanayohusu "rail&trains" huko Kenya, kwasababu mlipogundua kwamba wachina wamewajengea reli na trains za zamani, ili kujipa matumaini mkesema hiyo yenu ni "Chinese first class"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom