Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Exquisite
2020-03-17 (1).jpg
2020-03-17.jpg
 
There's nothing special about that building. It is just ugly for a museum
Hivi nikuulize swali moja tu. Unalipwa uki-hate Tanzania? Kama hupokei hata $1 ya nini kujichosha roho bure? Kwanza hata kama ukisema ni ugly, hiyo ni perspective yako na wengine wana-think otherwise kwa hiyo sasa, maneno yako ya kipuuzi hayana umuhimu wala uzito wowote juu ya mtu yeyote unayem-consider "enemy" kwenye hii thread kwasababu nyie wakenya wote wa humu ni wendawazimu tu na njaa zinawauma kwa ufukara mlionao.
 
Am not hating on Tanzania on anything by just saying that that museum is ugly. I have on several occasions highlighted several areas where Tanzania is doing better, something that I have never see you do here, so if am a hatter then you are a hater times ten. Afadhali mimi nina njaa ya tumbo, wewe una njaa ya kimawazo na kiakili
 
Back
Top Bottom