mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Naona mumepewa msaada🤣🤣🤣👇👇👇
Wazee wa GDP
hujui kusoma bro
Naona mumepewa msaada🤣🤣🤣👇👇👇
Wazee wa GDP
Nchi ya viwonderwhat's that? I was expecting you show me something like this View attachment 1383128
😂 😂 😂Hainiumi mzee nikiangalia maisha mnayoishi ninyi hayawezi lingana na sisi kamwe. Na hizo takwimu zilizotolewa juzi nakupa miaka miwili wataongezeka wenginee zaidi ya haooo. Huwezi kusema mmetuzidi utajiri hii sio tanzania unayoifaham ww ya mtandaonii tuko mbalii sana mzeee. Ndio maana wenzako waliowah kuja tz wanalilia wabaki unafaham kwanini wanataka wabakiii???
Unafik ni pale mtu anapokubaliana na Upande moja wa ripoti na kukataa Upande mwingine. Very interestingSisi huwa hatuna maneno mengi, kuhusu hilo la rich citizens btn Tanzanians and Kenyans nalo litawekwa mezani na ukweli utajulikana tu, yn wakazi wa kwny slum wawazid mbumba watu wenye nyumba zao, tena nyumba za blocks itakuwa ajabu jipya la dunia.
Who do you think you are mpaka nikwambie net worth yangu?Unaona Raha kwa pesa za wenyewe? Wewe una ngapi tuanze hapo?
View attachment 1383165View attachment 1383165
Soma ripoti ya joto la jiwe vizuri utanielewa.
Mmeumia sana kuhusu millionares🤣🤣🤣🤣Nchi ya viwonder
Rich of what fake GDP ama🤣🤣🤣🤣👇👇👇Unafik ni pale mtu anapokubaliana na Upande moja wa ripoti na kukataa Upande mwingine. Very interesting
Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The Standard
unajipa matumaini kwenye hamna🤣🤣Unafik ni pale mtu anapokubaliana na Upande moja wa ripoti na kukataa Upande mwingine. Very interesting
Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The Standard
Safi kwa kumtia moyo cz ukiendelea kumkazia atajisikia vby c unajua jirani zetu hawa walivyo na jealous, wakati mwingine tuwe tunawakubalia ili kuwaliwaza km hv.
jamaa mchokozi sanaMmeumia sana kuhusu millionares🤣🤣🤣🤣
Hauna kitu mkuu.Who do you think you are mpaka nikwambie net worth yangu?
Millionares imekamilika sasa 🤣🤣🤣👇👇
Usimdharau usiyemjuaHauna kitu mkuu.
Kwanza aje dar alaf tuoneshe net worth zetu 🤣🤣Usimdharau usiyemjua
Kwahyo ichoboy01: Hapo ndio millionaires wengi wanaishi kwa sasa?
Hatari babu hio mada imewauma sana hawaamini🤣Kwahyo ichoboy01: Hapo ndio millionaires wengi wanaishi kwa sasa?![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Rich of what fake GDP ama🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Soma hii