TakatakaSisi tunajenga BRT wanakuja hapa nye nye nye mambo kwa ground ushuzi wa mende🤣🤣
View attachment 1382692View attachment 1382693View attachment 1382694
Hahahaha, BBC itakua imekosea, ngoja nikupe ripoti ya BBC ya mwaka jana, utagundua wamejichanganyaWakenya someoni hapo
Huwezi kuwaona kwa ss idadi ya milionea imewastua, ukijumlisha na tunavyowanyanyasa kwny miundombinu ndo hawana hamu kabisa likija na lile joka la umeme ndo kwisha na hutawaona humu believe me, wana mioyo ya chuki na wivu wa kijinga sn.Wakenya someoni hapo
Link mkuuKuna battle huko twitter #TanzaniaVsKenya mshiriki na huko
kuna picha nying huku zilitumwa, napenda kuziona na huko![]()
Chai maharage...Sisi tunajenga BRT wanakuja hapa nye nye nye mambo kwa ground ushuzi wa mende🤣🤣👇👇
View attachment 1382692View attachment 1382693View attachment 1382694
Hilux sio Toyota? Ulisema hakuna plant ya Toyota Kenya. Wewe tuonyeshe yenu tuoneSo only Toyota hilux 😁😁😁😁 mm nikajua assembly plant ya Toyota kama ile ya south Africa kumbe ushuzi
"Kenyans richer... " How did that pass your attention?Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The Standard
Hahahaha, yote haya ni "Media" za Kenya ndio zinazosema hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuonyeshe hiyo jalala. Unadhani huu ni mji wa uswazi? 😂 😂Nje ya Kasarani kuna jalala![]()