The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wivu na hasira, walijitenga na waafrika ktk ukombozi wa Africa wakawa wanashughulika na Uchumi, timemaliza kuzikomboa nchi za Afrika, sasa tunawapita, hawaamini kinachotokeaKumbe habari ishawafikia huko kwao, ss hawa wapuuzi wa humu mbn wanajitia kuzikosoa hzo takwimu tatizo nn elimu duni ya kufafanua mambo au wivu wa kimaendeleo, hakuna gazeti hata moja la kenya linalopinga hzo report wala hakuna msomi hata mmoja tunayemjua ambaye ameonyesha wasi wasi, ila wasi wasi unaoneshwa na hii misukule ya humu, pathetic.
Wivu na hasira, walijitenga na waafrika ktk ukombozi wa Africa wakawa wanashughulika na Uchumi, timemaliza kuzikomboa nchi za Afrika, sasa tunawapita, hawaamini kinachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakulima wao wanalia kwamba wakenya hawataki kununua mazao yao, badala yake wanapendelea mazao ya Tanzania kwasababu ni "Cheap, of high quality and very Natural", sasa hawa jamaa sijui watakimbilia wapi?How Tanzanian agricultural products are smuggled into Kenya through Isibania border
Juzi pia si ilikua KE Derby!?? hebu na wao waweke picha za mashabiki wakiujaza uwanja wao kama hivi....
Hahaaaa!!mbna umekubali kinyonge hvoSo only Toyota hiluxmm nikajua assembly plant ya Toyota kama ile ya south Africa kumbe ushuzi



GDP iliojaa ushuzi na madeni ya mchina🤣👇👇
Kumbe mnaumia hivi? Tumeshawanyamazisha midomo yenu..BomboclaatWewe ni dollars millionaire ama ni kusifu ya wanaume wengine?
Naona mzigo umeingia vyema💉💉💉💉💉Wewe ni dollars millionaire ama ni kusifu ya wanaume wengine?
Nimecheka sana ushuzi mtupu🤣🤣🤣🤣Hahaaaa!!mbna umekubali kinyonge hvo
Nikajua utasema km ile ya jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Moto wa kwnz haujaisha umewashwa mwngine, wapinge na hii ss, oohh dafu, dafuu, dafuu, na huku linawashika kunako

shikamoo dafu.Hawana helaJuzi pia si ilikua KE Derby!?? hebu na wao waweke picha za mashabiki wakiujaza uwanja wao kama hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!mko na plant ya nyumbu msijaliNimecheka sana ushuzi mtupu![]()