Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu msumari sijui wataukwepaje. Nchi yenye uchumi mdogo lakini idadi ya matajiri ni mara mbili ya nchi yenye uchumi mkubwa, hii ndio faida ya ujamaa, uchumi unasambaa kwa watu wengi, sio kabila au familia chache. Tunakukumbuka Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
The same Knight Frank said there were over 9,482 dollar millionaires in Kenya in 2018. How this has dropped to just over 2,000 in just one year is a subject of discussion
Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018
 
Bata in Dar, Johari Rotana
Source: indaressalaam

ESmMPP1XkAEYdtU.jpg
ESmMPPzWkAAZY2X.jpg
ESmMPPsWAAc1HBs.jpg
ESmMPP7XQAADeX5.jpg
 
Mweshimiwa miundo mbinu mbona inajengwa kila kukicha kuna project za ujenzi nyingi tu na zinaendelea au unazngmzia miundo mbinu ipi???
Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Uko sawa kabisa mkuu 100% ,,ttzo wabongo tumezoea kuongea Sana,,ukizngatia evidence ka zote zimeoneshwa hapo juu hafu bado watu wanabisha kwa maneno pasipo kutumia logic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bra bra hazina naface hapa. Kwani nani hajaishi Nairobi? Unadhani sisi hatuijui Nairobi?
Nimekwambia acha bra bra. Kama hujui kitu kaa kimya sisi tukuletee. Usijifanye mjuaji wakati hujui. Nimekwambi wewe leta references za Nairobi. Wewe unakuja na maneno ya siasa.
Je?
1. Nairobi kuna BRT?
2. Nairobi kuna Island?
3. Nairobi Kuna uwanja mkubwa wa Taifa?
4. Nairobi kuna fish market?
5. Nairobi kuna daraja kama la Nyerere?
6. Nairobi kuna beaches?
7. Vipi kuhusu hotel za Nairobi na za Dar?

Wewe unakuja na bra bra hapa. Tatizo huna exposure. Umetokea porini na kwenda Nairobi. Sasa umerudi dar na huja wahi hata kutembea zaidi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako.
Hahahahahah!!!!mzeh mwelekeze Vizuri usimkazie kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege zetu zinaruka Mumbai, Johannesburg, New York, Amsterdam, Telaviv Yani Kila Kona bila hofu ya kukamatwa.

Tuonyeshe Cabin crew ATCl wakiwa miji nyingine duniani Meaka huu 2020 March 6.
Ndege zenu munamiliki ndege ngapi hebu tujuze😁😁
 
Mada ya millionares imekua kichomi kwa majirani😁😁😁😁 alaf niskie mpuuzi anafungua mdomo kuhusu GDP ushuzi wa kenge
 
Back
Top Bottom