Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie Teargass Zigi Rizla mwaswast kujeni muone cabin crew ya KQ af mutuambie ndo hii kweli au propaganda za kina David Ndii
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1583754049648.jpeg
 
Wakenya wasipoliangalia hili jambo litakuja kuleta mtafaruku mkubwa huko mbeleni, ajira nyingi ss zinazoweza kufanya na mkenya anapewa mchina wakati kule china hakuna mkenya kupewa ajira na serikali ya china, hili jambo waliangalie kwa umakini sn watakuja kuchinjana me nawaambia.
Kenya ni "Failed state", isiumize kichwa chako, "man eat man"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicxie Teargass Zigi Rizla mwaswast kujeni muone cabin crew ya KQ af mutuambie ndo hii kweli au propaganda za kina David Ndii
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1381952
Ndege zetu zinaruka Mumbai, Johannesburg, New York, Amsterdam, Telaviv Yani Kila Kona bila hofu ya kukamatwa.

Tuonyeshe Cabin crew ATCl wakiwa miji nyingine duniani Meaka huu 2020 March 6.
 
Ndege zetu zinaruka Mumbai, Johannesburg, New York, Amsterdam, Telaviv Yani Kila Kona bila hofu ya kukamatwa.

Tuonyeshe Cabin crew ATCl wakiwa miji nyingine duniani Meaka huu 2020 March 6.
Ok, na hao wachina vp mshawapa uraia[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom