Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
usiweweseke baba hivi vitu vidogo unaweza ukakuta page ya Mungiki! Kama Rais wa CAF alikuwapo na Super sport waliirusha live huna haja ya kupiga kelele! Hayo mengine ni ujinga mdogo mdogo usioumiza! Hata Rais wa FIFA anatujua!Ila kuna mambo yanakera sana tuna derby kubwa Afrika tunajivunia lkn bdo kuna wapuuzi bdo wamelala sn, haiwezekani mechi kubwa km hii ya leo isipatikane kwny mtandao mkubwa km Live scores, huu ni udhaifu mkubwa sana kwakweli, mara nyingi nmekuwa nikiingia live scores con ligi ya bongo lkn ya wenzetu Mungiki japo haina mvuto lkn wanaitangaza sn hata ukiangalia pale supersport utaona matangazo ya ligi ya kenya, ila hii yetu haya majinga TFF yamelala tu kazi yao kupanga matokeo hamna yanachofanya kuongeza thamani ya ligi, yn yanaturudisha Tz ile ya upigaji.View attachment 1381122
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096

kiingereza noma...are we on ze laiti tlaki bro?
