ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wewe unashida kichwani 😁😁😁
wewe unashida kichwani 😁😁😁
Nyeri c hii hapaVitu kwa Ground





au kuna nyingine chini ya hili jua.
Wapi hii mkuu
Usilinganishe V8 na bajaji. Wanyama amechezea vilabu viwili EPL and spent close to 7 years playing in the EPL. Huyu wenu anashushwa daraja in the next two months after playing there for just two months. Wapi na wapi!!Hivi baada ya Victor wanyama kwenda Canada kuna Mkenya anacheza Premium league? Origi si Mkenya anatembelea Passport ya Ubelgiji!
😂 😂 😂 this is the funniest comment I have read this week. Hebu taja kitu kimoja tu ambayo Uhuru amecopy Magumkuu ngoja waje wenye mji wao watoe ushuhuda heheheheheeee raisi wao yupo bize kumkopi na kumpesti Magu atamuezea wapi, Magu Genius
Kenya wanayo habari
Kama mliyvochukua barabara yetu ya southern bypass na kuipeleka TanzaniaSafi sana, naona siku hizi imekuwa ni fashion kwa jirani ku claim vitu vizuri vya TZ kuwa ni vyao, mambo ni mazito...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyama ni v8 gani 😂😂😂Usilinganishe V8 na bajaji. Wanyama amechezea vilabu viwili EPL and spent close to 7 years playing in the EPL. Huyu wenu anashushwa daraja in the next two months after playing there for just two months. Wapi na wapi!!
Kama mliyochukua barabara yetu ya southern bypass na kuipeleka Tanzania
Hii ndio tunaambiwa ni v8
Appearances154
Goals10
Assists3
Tena mara ya mwisho kufunga goli ni 2018/2019 appearance 13 goli 1.
Kama hauelewi kandanda usijiabishe bro. Huwezi linganisha idadi ya mabao ya striker na defensive midfielder. Ngolo Kante amechezea Leicester na Chelsea jumla ya mechi 159 na kufunga mabao 10. So niambie pia huyu Samatta wenu anaweza linganishwa na KanteHii ndio tunaambiwa ni v8 😂😂😂
Appearances154
Goals10
Assists3
Tena mara ya mwisho kufunga goli ni 2018/2019 appearance 13 goli 1.
Anataka kutudanganya humu, na hizo ni statistics za timu mbili alizochezea 😂😂😂
Kama hauelewi kandanda usijiabishe bro. Huwezi linganisha idadi ya mabao ya striker na defensive midfielder. Ngolo Kante amechezea Leicester na Chelsea jumla ya mechi 159 na kufunga mabao 10. So niambie pia huyu Samatta wenu anaweza linganishwa na Kante
Kandanda ndio nyumbani,Kama hauelewi kandanda usijiabishe bro. Huwezi linganisha idadi ya mabao ya striker na defensive midfielder. Ngolo Kante amechezea Leicester na Chelsea jumla ya mechi 159 na kufunga mabao 10. So niambie pia huyu Samatta wenu anaweza linganishwa na Kante
Raisi Uhuru Kenyatta ana mkopi sn Magufuli kwa mfano saivi serikali yake imesitisha kuajiri kwa miaka mitatu ili kukabiliana na ukata wa fedha ulioikumba GoK, idea hii alikuja nayo Magufuli wkt anaingia madarakani, btw co Uhuru Kenyatta tu anaemkopi Magu bali marais wengi Afrika, na bado mtakopi na kupest sn tu![]()
![]()
this is the funniest comment I have read this week. Hebu taja kitu kimoja tu ambayo Uhuru amecopy Magu

