Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanyama is a defensive midfielder, not even an attacking midfielder. How to you expect him to score goals? How many goals has Granit Xhaka scored for Arsenal? How many has Ngolo Kante scored for Chelsea? How many goals did Michael Carrick score for Manchester United?
Sasa mbona hana assist nyingi?
Unatafuta pakutokea 😂😂😂
 
Raisi Uhuru Kenyatta ana mkopi sn Magufuli kwa mfano saivi serikali yake imesitisha kuajiri kwa miaka mitatu ili kukabiliana na ukata wa fedha ulioikumba GoK, idea hii alikuja nayo Magufuli wkt anaingia madarakani, btw co Uhuru Kenyatta tu anaemkopi Magu bali marais wengi Afrika, na bado mtakopi na kupest sn tu
I thought you were going to say something constructive and give many examples. Kumbe povu tu?
 
He's just doing a comparison because both are defensive midfielders. Mbona huelewi mambo rahisi?
Wewe ndio hauelewi na ndio maana unafananisha na v8 😂😂😂
Kwa kiwango gani alichonacho kumzidi Samatta!
 
Sasa mbona hana assist nyingi?
Unatafuta pakutokea 😂😂😂
Give me the number of assists those players I have highlighted above have in their respective teams then do a comparison. Granit Xhaka ako na assists ngapi Arsenal? Na Kante ako na ngapi Chelsea. Nilichogundua ni kwamba wengi wenu hamuelewi mpira wa kandanda
 
Hapa tunaongelea kuhusu wanyama unayemuita v8 😂 😂 😂
Acha kutafuta usaidizi.
 
Tunazungumzia kwa ss na co habari za miaka iliyopita, je mna mkenya anaecheza epl? Jibu swali acha kulia lia.
Huo ni ujinga. Wanyama amecheza huko miaka saba wala hatukuwahi uliza maswali za kijinga kama hizi. Huyu wenu ako huko for only two months na pia anaenda kushushwa daraja na hatupumui!!
 
Hapa tunaongelea kuhusu wanyama unayemuita v8 😂 😂 😂
Acha kutafuta usaidizi.
Ni V8 kwa sababu ako na uzoefu wa EPL wa miaka saba. Utamlinganishaje na bajaji ambaye amekuwa huko kwa mwezi miwili tu na pia anaenda kushushwa daraja?
 
It's like asking how many assists does a defender provide
Heheheheheeee mchezaj mwenyewe tumewaazima tu
Screenshot_2020-03-07-12-32-07.jpeg
 
Ni V8 kwa sababu ako na uzoefu wa EPL wa miaka saba. Utamlinganishaje na bajaji ambaye amekuwa huko kwa mwezi miwili tu na pia anaenda kushushwa daraja?
Uzoefu wa red card, goals 10, assist 3 ndani ya hiyo miaka 7, kusugua bench 😂😂😂
 
Na ndiyo maana wakamuuza yn he's useless defensive midfielder tackling chache
Wanyama ameuzwa coz of injury issues. It's like saying Arsenal sold Jack Wilshere Kwa sababu ilikuwa useless which is not correct. Huyo Wanyama unayemuita useless scored against the mighty Barcelona, which is a pipe dream kwa huyu bajaji wenu anayeenda kushushwa daraja in the next two months
 
Back
Top Bottom