Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
vs
Ichoboy utawaua kwampresha acha basi kwanza.Sumu ziendelee watajua hawajui😁😁💉💉💉
View attachment 1378899View attachment 1378900View attachment 1378902View attachment 1378903View attachment 1378904View attachment 1378905View attachment 1378906View attachment 1378907View attachment 1378908View attachment 1378910View attachment 1378911View attachment 1378912View attachment 1378913View attachment 1378915View attachment 1378916
Sio watu tu, wanaiba milima madaraja, musicians etcBora ce ila nyie mnaiba mpk watu [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1378871
Vitu kwa Ground [emoji3][emoji3]
Vitu kwa Ground [emoji3][emoji3]
Vitu kwa Ground [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ngoja waje wenye mji wao watoe ushuhuda heheheheheeee raisi wao yupo bize kumkopi na kumpesti Magu atamuezea wapi, Magu GeniusKenya ndo kumechoka namna hii? Hii ndo Nyeri sio?
Hizi zitakuwa za GoT au AtclHehehe June ndege mbili zinaingia [emoji16][emoji1241][emoji1241]
kuna a220 mbili zitakuja pia!kwan kuna utofauti? si ATCL 100% owned by serikali??
anyway huko nyuma serikali (Magu) imekuwa ikisema zitaongeza ndege nyingine mwaka 2020, yan mwaka huu!
Ni kweli it's owned by GoT 100% ila unajua serikali imekuwa ikitoa pesa sehemu nyngne ku service atcl mfano kununua ndege, swali langu ni kwamba ndege hizi zinatokana na pesa inayotoka atcl au....kwan kuna utofauti? si ATCL 100% owned by serikali??
anyway huko nyuma serikali (Magu) imekuwa ikisema zitaongeza ndege nyingine mwaka 2020, yan mwaka huu!
PPP (purchasing power parity) ndiyo real GDP (kwa nchi husika), ni uwezo wa nchi kununua bidhaa/huduma. Nominal (GDP) ni kiwango cha kinadharia zaidi, kinacho dhani bei ya bidhaa/huduma duniani kote ni sawa. Yaani bei ya embe Tanzania na Canada ni sawa bila kujali upatikanaji au mfumuko wa bei.Hata China inazidi USA kwa PPP. ..who can give me the really meaning of ppp in a relation to economy
Atcl nafkiri ndio wameanza kuekeza sasaHizi zitakuwa za GoT au Atcl
Yah itakua baada ya June hzokuna a220 mbili zitakuja pia!