Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uzi umekua mgumu sana kwa wakenya sasa wanalazimika waharibu huu uzi maksudi ila mm nawapa pole hii thread tumeilinda sisi na tutaendelea kuilinda na sindano za moto zitawekwa humu kama kawaida๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰
 
Screenshot ya kazi gani au ili ukaifute,
Hiyo ikae hapo hapo ili wengine wakuone ulivyo parara,
Si uliipost mwenyewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo link nimekupa hapo juu ndio link ya picha na picha yenyewe iko na hadi tarehe iliyopigwa.
You have the picture yet you can't do a simple screenshot? How now? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Ili ukaifute ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo ibaki hapo hapo,
Na hiyo picha inaonesha kabisa kuwa hiyo device iliyopost hiyo picha ndio iliyopiga hiyo picha.
Sasa nitafutaje screenshot uliyopiga wewe nawe kilaza? Nitaingia kwa simu yako niifute?
 

flashback.. then [emoji1318]
now [emoji116]
 
Mkuu tender zilishatangazwa zamani, nafikiri serikali imeamua mutants Siri, kama umesikia wanasema wataanza test may au June maana yake huo mzigo yawezekana ukawa kwenye meli sasa hivi au wanajiandaa kupakia.
Nafikiri mambo yaliyoendelea kwenye ndege yameifanya serikali kuwa makini na utoaji hovyo wa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ