Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo mnajenga bila kuzingatia mfumo wa BRT na TRAM wakati sisi tunazingatia mfumo wa brt kwenye kila ujenzi wa flyover na interchange na barabara zote tunazo jenga hadi sgr yetu tumezingatia mfumo wa brt ndiyo maana tunajenga cable bridge ya sgr kwakuwa chini barabara itakuwa na upana wa kutosha kujenga BRT system

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wameenda kutalii kiberaa dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
Your browser is not able to display this video.
 
Mm nina swali yangu kuhusu wakenya
1)hivi hapo slum mnapo ishi ,Jidume zima linajitamba kuwa lina miliki makaazi
2) Vidume vya Kenya vinatongoza Demu na kumpeleka kabisa kwenye hayo makaazi ya slum!!!!!!? na Demu unakubali na kujiona uko na pedejeee!!?.
YANI NIMEANZA KUJIULIZA SANA ILI SWALI " THE VALUE OF KENYA'S GIRLS" how they sex in slums and fill comfortable ??
Hizo ndizo treni zenu officially
View attachment 1376138

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We can't afford according to mtu aliyezoea kuishi kwenye slums na kuvuta hewa chafu na harufu ya vinyesi,
Nyie mnaoweza kuafford mbona asilimia kubwa ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye bati after bati 😂😂😂
Najua mnatamni sana tuwe kama nyinyi ila hatuwezi. Hizo dream houses zenu zilizotapakaa kila mahali ziko tu kwenye slums huku kwetu. Huwezi pata nyumba kama hizo nje ya slums za Nairobi hata uende hadi wapi
 
Uku hizo ni bweni za watoto wa shule kwenu nyumba huoni tofauti hapoo[emoji382][emoji382][emoji382]
Nasi hizi hapa zinapatikana slums, huoni tofauti hapo.

Sadly they are everywhere 😂 😂 😂 😂
 
Ahero is a small shopping center in interior part of Nyanza in Kenya, about 30 kilometres from Kisumu. What's the need of building BRT in such a small trading center? Ana siku hizi BRT zinajengwa kila mahali?

Secondly, that road is part of Lake Victoria ring road that traverses five counties. It starts in Busia County and ends at Muhuru Bay in Migori county covering a total of 470 kilometres
 
Of course you fill comfortable here

And I also feel comfortable here

Why do you think that we should fill the same?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…