Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mitshumi tower in Westlands. 20 floors.
tapatalk_1582923561369.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi uone hii @Nixcie . Nimepata mwizi mwingine.


This picture si ya Tanzania na hata ukisoma maelezo hapo chini utapata kuwa ndio wananegotiate the funding. So I wonder how come tayari barabara ishajengwa and yet there there is no funding.View attachment 1372615

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hua jamaa nashindwa kuwaelewa wakati mwingine. ..
Mradi wa dar chalinze unaenda taratibu wakati huko ndio kuna jam na magari mengi...unatafuta mkopo kwenye barabara ambayo haina noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom