babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Sasa kama asilimia kubwa ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye slums na wengine kwenye mabox ambayo mchanga unamomonyoka kutokana na kujengwa chini ya kiwango 😂😂😂Najua mnatamni sana tuwe kama nyinyi ila hatuwezi. Hizo dream houses zenu zilizotapakaa kila mahali ziko tu kwenye slums huku kwetu. Huwezi pata nyumba kama hizo nje ya slums za Nairobi hata uende hadi wapi
Hapana asee kwa kweli sisi watanzania hatuwezi kuishi mazingira mabovu na machafu kama hayo,
Yaani unaishi sehemu ambayo hakuna huduma zozote za muhimu kwa Jamii...iyo ibaki huko huko.
