Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atoe wapi? Utapata hiyo sasa ameiba Kisumu ama Nakuru
Are happy now🤣🤣🤣💉💉💉💉
1590171_IMG_20170910_181641.jpg
 
GTC inakupea pressure bure. Alafu kwa issue ya barabara please next time iba ya Uganda tafadhali. Maybe ya Uganda inaezatuchanganya kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa somo umelielewa tayari sasa mpe onyo na mwenzako anaejidanganya hapa kua Kenya inajenga BRT mwambie dawa yake inachemka soon itakua ngumu kumeza kwake🤣🤣🤣🤣💉💉💉
 
Back
Top Bottom