Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Haujui kama hio ni 2008 ?au hujasoma habari umekurupuka tuli lease a320 mwaka 2008
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujui kama hio ni 2008 ?au hujasoma habari umekurupuka tuli lease a320 mwaka 2008
Kwani tuliwahi kusema kama tuliununua hyo A320 ..ilikuwa inajulikana ni lease deal toka mwaka huo huoMiaka mawili. Hiyo yenu ya 2007 imejilulikana baada ya miaka mangapi? And do you know the meaning of a white elephant?
How many times have you said here that ATCL doesn't have any leased aircraft?Kwani tuliwahi kusema kama tuliununua hyo A320 ..ilikuwa inajulikana ni lease deal toka mwaka huo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana muda sasa sisikii wakilipigia kelele.Hapana lile limekufa lilikua linaitwa pinnacle🤣🤣
Kenya nao wanajenga BRT ila wanasema ni kmy kmy hawataki watu wajue


Wenzako wote wamekimbia umebaki pekee humu ndani, ss ucje kusema tunakuchangia humu


Pinnacle has a case in court which forced the investors to put construction on hold. The same also goes with cyton triple towers in Kilimani which unfortunately was stopped by the courts for breaching zoning lawsNdiyo maana muda sasa sisikii wakilipigia kelele.
Kenya nao wanajenga BRT ila wanasema ni kmy kmy hawataki watu wajue![]()
Unafikiri sisi ni kama nyinyi mnashindwa hapa usiku na mchana?Wenzako wote wamekimbia umebaki pekee humu ndani, ss ucje kusema tunakuchangia humu![]()

U/C au co.. ss ayo mapipa mbn hayatoki apo kila cku yako hapo hapo, kenya bhn soon tu utasikia yale mapipa pale yalinunuliwa kwa ksh 1mil hehehehee kila kona kuna tembo mweupeMlisema hatujengi ila sasa mmebaki tu mkiona mapipa. Very narrow minded people!U/C au co.. ss ayo mapipa mbn hayatoki apo kila cku yako hapo hapo, kenya bhn soon tu utasikia yale mapipa pale yalinunuliwa kwa ksh 1mil hehehehee kila kona kuna tembo mweupe
Hiyo riruta umepost sehemu kidogo tu,Riruta "slum" 😂 😂 😂
View attachment 1371452
Afadhali niishe hapo Riruta slum than living in these squolars called dream houses View attachment 1371453
By now we dont have any leased aircraftHow many times have you said here that ATCL doesn't have any leased aircraft?