Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I thought unajua kiingereza kumbe bado tu sana kijana..hiyo kabla pombe hajaingia madarakani na shirika la ATC bado kabisa kufufuliwa,ni enzi za jakaya
That doesn't change the fact that you entered a leasing deal
 
Mbona hushangai namna jubilee inavyowapumbaza,
Siku mkipata rais mwenye uchungu na Kenya... Hayo madudu atakayo yakuta 😂😂😂
Mambo yetu yanawekwa wazi and that's why our media houses are able to talk about them. Is it the same case with you?
 
Mambo yetu yanawekwa wazi and that's why our media houses are able to talk about them. Is it the same case with you?
Mambo gani munaweka wazi SGR imekuja kubutuka miaka miwili baada ya shirika kugeuka kua white elephant na huku loss ikitafuna shirika🤣🤣🤣🤣🤣
 
IMG_20200227_154456.jpg
IMG_20200227_154501.jpg
 
Lakini ndio inawapa tumbo joto airline imefufuliwa miaka 3 ina 11 brand new aircraft wakat loss making airline iko in service 35 yrs ina ndege 3 zaimezeeka🤣🤣🤣🤣🤣 alafu bado munamktafuta mchawi
ATCL labda ipewe miaka hamsini ndio ianze kuwa na ndoto za kutupia tumbo joto. It's not generating even one eighth of what KQ is generating
 
Mambo gani munaweka wazi SGR imekuja kubutuka miaka miwili baada ya shirika kugeuka kua white elephant na huku loss ikitafuna shirika🤣🤣🤣🤣🤣
Miaka mawili. Hiyo yenu ya 2007 imejilulikana baada ya miaka mangapi? And do you know the meaning of a white elephant?
 
Mambo yetu yanawekwa wazi and that's why our media houses are able to talk about them. Is it the same case with you?
Yanawekwa wazi na nani 😂😂😂 hujui kitu wewe,
Hata sisi awamu iliyopita tulikuwa tunadhani hivyo hivyo,
Siku mkipata rais mwenye uchungu na nyie kama JPM hakika mtashangaa sana madudu mnayoachiwa sasa hivi 😂😂😂
Eti yanawekwa hadharani.
 
So Tallest is 38 and not 42🤣🤣🤣🤣 nyingine naona imeishia 28 😀😀😀😀
If tallest is 42 nueleze inayofatia ni floors ngapi??🤣🤣💉💉👇👇👇
Kwasababu diff ya 42 na second ni almost 9 to 10 floorsView attachment 1370544mi
Hiyo 38 ni Marriot Hotel, Office Tower ni 43 floors. All buildings are above 30 floors.
 
I clearly said "part of Kariobangi". Mbona Unajifanya hujui kusoma? And how do you expect the whole of Kariobangi to be captured in one picture? And here is also a section of kawangware slum 😂 😂 😂 View attachment 1370559
Mama yangu Dar es salaam yooote hakuna kama huo uchafu hapo juu duh!!..aki slum ni kitu mbaya sana khaaa

I doubt kama hao jamaa wanaweza kuwa hata na stima aiseee...maisha gani hayo
 
Back
Top Bottom