Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao watanzania ambao Wana ajira wameajiriwa wapi,hebu nambia sekta ambayo imeajiri watanzania hata million tano? Ni sekta ipi hio ambayo ni multbillion dollar ambayo imepunguza kiwango Cha ajira Tanzania? Mbona mnashindwa kufikiria,au Ndio ile sekta ya umbea mnashinda vijiweni kubishana na jua likisogea pia mwasogea? Ama kweli wataalamu hawakukosea waliposema
Vinatoa ajira gani... Mbona mnaongoza kwa unemployment rate hapa EA?
Kila mara visingizio tu,
Sasa mbona hivo viwanda vinafuta na kupunguza wafanyakazi sana!
FB_IMG_1581602773069.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watanzania ambao Wana ajira wameajiriwa wapi,hebu nambia sekta ambayo imeajiri watanzania hata million tano? Ni sekta ipi hio ambayo ni multbillion dollar ambayo imepunguza kiwango Cha ajira Tanzania? Mbona mnashindwa kufikiria,au Ndio ile sekta ya umbea mnashinda vijiweni kubishana na jua likisogea pia mwasogea? Ama kweli wataalamu hawakukosea waliposemaView attachment 1371251

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuletea story za magazetini 🤣🤣🤣
 
Sasa mbona unemployment rate ya Tanzania ni ndogo sana ukanda huu huku Kenya ikiwa na unemployment rate kubwa sana ukanda huu wa EA?
Tumia akili au ndio ile ni kweli locust wana akili kukuzidi!
Unemployment rate Kenya ni kubwa kiasi kwamba vijana wa kenya hutembea na mabango barabarani huku wakiwa wameandika maneno ya kuomba kazi,
Na tena serikali yenu imesitisha kuajiri kwa muda wa miaka mitatu.
 
Hua wanafarijika Sana wakijilinganisha na sisi.
Yani ile design hawa watu wanataka tufanane is laughable. The things they call dream houses are only found in slums huku kwetu. Ask them to bring such images outside Nairobi slums they end up throwing tweeter images stating that 80% of Nairobians live in slums. It's desperation of the highest order

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu workforce yetu ipo juu kushinda wenu.
Sasa mbona unemployment rate ya Tanzania ni ndogo sana ukanda huu huku Kenya ikiwa na unemployment rate kubwa sana ukanda huu wa EA?
Tumia akili au ndio ile ni kweli locust wana akili kukuzidi!
Unemployment rate Kenya ni kubwa kiasi kwamba vijana wa kenya hutembea na mabango barabarani huku wakiwa wameandika maneno ya kuomba kazi,
Na tena serikali yenu imesitisha kuajiri kwa muda wa miaka mitatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwa akili zako hao watanzania wameajiriwa wapi? Hata leo ukienda ukitembea Tanzania vijana wapo wapo tu ,wanatembeza karanga na kushinda vijiweni kujadili mafanikio ya wenzao huku wakishindana na jua.
Visingizio visivyo na maana yoyote
By the way you guys mbona msiwe positive na mjadili vitu ambavyo ni vya msingi maishani,Mimi sijawahi kuona Wala kusikia wamerekani wakilinganisha new York na London au hata Beijing na Paris? Let's be constructive guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwa akili zako hao watanzania wameajiriwa wapi? Hata leo ukienda ukitembea Tanzania vijana wapo wapo tu ,wanatembeza karanga na kushinda vijiweni kujadili mafanikio ya wenzao huku wakishindana na jua. By the way you guys mbona msiwe positive na mjadili vitu ambavyo ni vya msingi maishani,Mimi sijawahi kuona Wala kusikia wamerekani wakilinganisha new York na London au hata Beijing na Paris? Let's be constructive guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Narudi pale pale, mbona unemployment rate yenu ni kubwa ukanda huu huku Tz ikiwa na unemployment rate ndogo.. Au unadhani hizo takwimu ziliokotwa?

Wewe ni lini ulijaribu hata angalau kujadili vitu vya msingi humu?
 
Wewe kwa akili zako hao watanzania wameajiriwa wapi? Hata leo ukienda ukitembea Tanzania vijana wapo wapo tu ,wanatembeza karanga na kushinda vijiweni kujadili mafanikio ya wenzao huku wakishindana na jua. By the way you guys mbona msiwe positive na mjadili vitu ambavyo ni vya msingi maishani,Mimi sijawahi kuona Wala kusikia wamerekani wakilinganisha new York na London au hata Beijing na Paris? Let's be constructive guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo unaona leo kwmb hatujadili vitu vya msingi baada ya kuharisha humu ndani, na ss mambo yanakutokea puani unaanza ku surrender heri ww umesoma alama za nyakati, cc tuache tuendelee na hawa ndg zako mpk nao wanyooshe mikono juu km ww
 
Nikupe kwani hujui ndio the modern electric railway in africa🤣🤣🤣🤣
Imebeba mizigo na abiria wangapi na imekamilika kiasi kipi? 😁

Usiogope kuweka jina ya hio station kwani unaigopa ukweli wa SGR kuwa white elephant kudhihirika.
 
Back
Top Bottom