Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kwani icho boy ni mzungu!!???...we una matatizo ya akili🀦🀦🀦
If he doesn't understand anything he better keep quiet. So lazima mtu aongee hata kama hajui anaongelea nini
 
Jibu mujarabu...
 
How big is your pop? $2500 imefika me Bluetooth ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] funny never end..
 
Ubongo wangu uko fine ..how are your 1000 IQ points helping you.Mkiambiwa simple facts and numbers mnarukatuka like mad people

Sent using Jamii Forums mobile app
Number kitu gani dogo..watu wa leo tunadeal na real things on the ground,sio rankings..kama ingekuwa namba ni kitu muhimu,you guys mngepata kitu bora zaidi ya ile chember ya moshi the so-called SGR
 
Hio ni slum kwa akili yako hvi hzo nyumba unaeza fananisha na slum za kuzimu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’‰πŸ’‰
Such houses and confused planning are only found in Nairobi slums. Outside slum areas huwezi kutana na nyumba kama hizo hata huende hadi wapi. So to me they are just slums ila kwako najua ni dream houses πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
109.13 billion ..mark that .If gdp was not important haingekuwa inatumiwa kurank nations [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]why is it used then

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kinachomake sense zaidi ni Per capita income...
Mfano mzuri ni kati ya SOUTH AFRICA Na NIGERIA

NIGERIA VS S.A. kwanza tu ukiangalia maendeleo interms of infrastructures na mambo mengine yani Nigeria ni chenga tupu lakini ubao unasoma ndio vinara Africa kwa GDP. ....

Kwani hujui hata Morocco tu hamna uwezo wa kuwafikia hata miaka 30 ijayo? Walishasogea sana hao Nigeria yenyewe hawajafikia Morocco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo chamber moshi inabeba goods and people .and thats all we need .Easy trasportation of goods and services.
Number kitu gani dogo..watu wa leo tunadeal na real things on the ground,sio rankings..kama ingekuwa namba ni kitu muhimu,you guys mngepata kitu bora zaidi ya ile chember ya moshi the so-called SGR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…