Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

OK boss. Bado hujajibu swali.umeniita tu mjuaji.kwa unyenyekevu naomba tu kujibiwa
Ngoja leo nikupe umuhimu wa huu uzi, huu uzi umesaidia sn watu kujua mambo yanayoendelea ktk nchi zote mbili kenya na Tz, watu tumejua pesa zetu walipa kodi jinsi zinavyotumika, lkn pia huu uzi unaangaliwa pia hata na watu wa serikalini unawaamsha na kuwapa morali pale wanapoona kuna kitu wenzetu wanacho cc hatuna hvyo kutia nguvu ili kuhakikisha jamii inanufaika, hv unavyoona mambo yanayopostiwa humu ndani uczan marais wetu Magufuli na Kenyatta hawaoni lazima watakuwa wanaona km co direct bac indirect, narudia tena huu ni moja kati ya nyuzi bora zaidi hapa Jf, watu tunajua mambo yanayoendelea nchini mwetu ukiachilia mbali hz kauli za vijembe tunazopigana humu ndani japo pia nazo zinasaidia kufanya watu wafunguke zaidi na uhalisia kupatikana, kupitia huu uzi watu wanajua majiji hata kabla ya kufika kwny hayo majiji ambapo itawasaidia mbeleni kuwa na taswira ya jiji fulani km atapata nafasi ya kutembelea jiji hilo, lkn pia watu wanajua misamiati ya lugha kiswahili na kiingereza, ngj niishie hapa na km hutaelewa umuhimu wa huu uzi bac ww utakuwa ni problem na unapaswa kupuuzwa.
 
Anza na huyu[emoji116][emoji116]
 
Ahsante sana kwa kuongea kama mtu mzima bila kuongezea matusi ,ujeuri na kiburi (bila sababu)kama wenzako.lakini inasaidia ukitenganisha post kwa kutumia paragraph.

sasa wacha nikujibu.husemi ukweli wote unaposema eti uzi unasaidia kuelemisha wasomaji.wee angalia post nyingi hapo juu.ni watz wanasherekea ufisadi,uvujaji wa pesa,sijui eti kuna slums slums huko kenya.hayo yakitajwa maemoji za kicheko zinawekwa na watz ndio hao wanafurahiiii..hii ndio mimi naita USHETANI.KAMA NIMESEMA,SIWEZI KUCHUKUA TAARIFA KUTOKA MAGAZETI INAYOHUSU SHIDA ZA TZ NA KUANZA KUCHEKA.HUU NI UJINGA MKUBWA.

Kama nimeelezea mwenzako,mradi wa tz hata mimi mkenya unwaeza kunifaidi.Lakini SIWEZI KUPATA FAIDA NIKICHEKA SHIDA ZA MTZ.HIZO SHIDA MNATAJA HAPA MKENYA ATAKWAMBIA WAZI ZIPO KENYA.Mwingine eti anaenda kupost wikipedia eti kuna slums!!Halafu anacheka sana...HII NI SMALLMINDEDNESS NA KUKOSA UTU.

SO,kwa ufupi,uzi umegeuka na umekuwa wa kucheka shida za kenya.Nami narudia huu ni UPUMBAVU MKUBWA NA MWISHOWE HAINA MANUFAA KWA YEYOTE.UTACHEKA NA UWEKE HIZO EMOJI,LAKINI KITAKUWA KICHEKO CHA UPUMBAVU TU.
 
Mbn una entertain double standard mzee, we huoni wakenya wakicheka shida zilizo Tz au we inakuuma tu unapoona tukiongelea slums, ok bac ngj tuache kuongelea slum za kenya[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio maana tunaongeza ndege kwasababu tuna uhakika nayo remb 3 yrs 11 brand new aircrafts cash deal and this year 3 more brand new aircrafts🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍👍👍
Kama mko na uhakika nayo mbona financial statements za shirika lenu zinasomwa chini ya meza? 😂 😂 😂 😂 Umewahi kuuliza swali hilo na ukajijibu? Do you know how much profits/losses Air Tanzania made in the last financial year? Najua hujui ila za KQ unajua vizuri tena sana
 
Sasa hapo wewe umejitetea nini

Unazani hiyo Mt Kenya ndio mrefu kuliko au kwa maana naona bado unashindana na ukweli ni kheri unyamaze ufunge domo lako linalotoa harufu ya chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua kiingereza ndio inakupiga chenga. What I said is so straight forward hata nashangaa povu ni ya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…