Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbona sasa unalia
Silii mkuu..ni vile nashangaa mtz kichwa kimefura,amejaa matusi na majigambo.Sikumjua akiwa hivi...
 
Na kamba yako mguuni umeingia kwa pupa kwenye hii battle,ungewauliza kina janerose na mk24 kilichowafanya wakaikimbia hii battle halafu ndio uchangie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kamba yako mguuni umeingia kwa pupa kwenye hii battle,ungewauliza kina janerose na mk24 kilichowafanya wakaikimbia hii battle halafu ndio uchangie

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikimbia eh?Kwa sababu ya matusi?Boss ukinitusi unafikiri nitatotoroka?Kwanza mimi huwa situsi watu.unanipea facts na reasoned arguments nitakuheshimu(lakini sitakuogopa).Lakini eti unitusi nikimbie....unafikiri ni matusi mangapi nimeyasikia?Ukiangalia hii battle (kwanza ni battle ya nini?) nimeuliza hizi hoja watu wanatoa,zina manufaa gani?Hakuna mtu ambaye amenijibu.Nimeambiwa tu hoo wakenya ni wajuaji,ho sijui wanajifanya hooo sijui .na wale watz wananiambia wananitusi na kujigamba tuuu.Katika hii website ya jf kusema ukweli sijaona discussion ya kuvunja moyo kaa hii...

So boss kama unanuia kunitukana au kunikejeli mpaka nitoroke..umeambulia patupu.Keyboard warriors and online bullies nimeona wengi,matusi nimesikia ya lugha zote,emoji nimeona ya aina zote..na majibu yangu napenda kuongea kama mtu mzima..bila kutukanana au kukosea watu heshima,Matusi na kuongea uchafu hiyo nachukua kama ni aina ya ugonjwa.Na mtu mgonjwa yuataka tu huruma na maombi.so mkuu usinipatie vitisho..
 
Sasa hapo wewe umejitetea nini

Unadhani hiyo mt Kenya ndio mrefu kuliko au kwa maana naona bado unashindana na ukweli ni kheri unyamaze ufunge domo lako linalotoa harufu ya chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watu wananiambia naongea vibaya na eti hii discussion ina manufaa..Sasa hawa majamaa wawili wakiafrika wanatukanana kwa sababu ya urefu ya milima.Kwani utoto ni nini?Na siulizi kwa ubaya..Milima itafanya waafrika wawili wakoseane heshima namna hii jameni?Milima iliyowekwa duniani na Mola wetu tuwe tunaitazama na kufurahia kazi ya mikono yake?Huu ubaradhuli wote ni wa nini?
 
Haaa sasa nimeelewa hii thread...ai ....sad to know. Poleni wakuu.
 
Hapa watakuonesheni magazeti ya cooked GDP lakini haya magazeti yanayoonesha uozo hawatawaonesha πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ the big white elephant ever



 
Sasa hvi watafkuzana sana kwenye kazi, pesa ya kulipa mishahara hawana ila uwezo wa kuandika GDP ya ushuzi kwenye magazeti wanayoπŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Walikuja na slogan ya ya self businessπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
Sijui iliishia wapi kila mwaka 40% hawana kazi alaf utaskia GDP inakua kumbe madeni yanawamaliza

 
Yap..Guilty as charged.Nairobi kuna slums.Tunajua hata bila kuingia wikipedia.Sio siri mkuu.Kenya ni 3rd world(nimeelezwa niseme developing country).So what is your point?
sio umeelezwa useme developing country ni kwamba neno 3rd world contry halina mean unazozitoa kulingana na sentesi zako maana inamaana nyingine afu nkuambie kitu mkuu u may think unafikiria smart sana au unatoa majibu mazuri sana yenye hekima ila n kwamba unayumba mkuu hii battle ina view 6m na reply kama zote sio kwamba walioko apa n mbwa hapana tunaakili timamu na tuna operate maisha tufauti na unavoweza hisi ila hii mkuu na rudia hii n for fun usichukulie kila kitu serious mkuu miji yetu bado japo sio bado sana ila bado bado ila haimanishi tuache kuenjoy the beauty of wat we have in our cities kisa sijui ulimwengu wa tatu naweza nkaishi dodoma au hata kenya eldoret na nika enjoy kuliko mtu alioko new York usijikite sana kuwaza mambo ya muhimu muda wote badala yake tuwaze namna ya kuenjoy kwa tulivo navo tuwekeze kwa ajili ya vizazi vijavo ila kwa asilimia kubwa na sisi tuenjoy wakati tupo hapa

japo sikatai wote watz na wakenya tunakosea kuwa address watu wa kwenye slum au tunawaonesha kama sio binadamu hususani kenya mnaruhusu mpaka wazungu kuwachukulia wenzenu kama vivutio inauma ila kwingine mm enyewe naona wakenya wanatukana wa tz soma comment za juu uko ivo naona tu kote wanatukanana hakuna ambae yuko kipole apa usione kama eti wa tz ndio wanatumia lugha za matusi peke yao

mara useme wakenya wanajiweza zote izo zinakuwa tu umeji mwambafy kamaa huna interest kabisa usingeonesha hata upande mmoja ni zaidi ya mwingine ungebase kote

ukiongelea concepts ya 3rd world na 2nd world na 1world naweza sema kenya n 1st maana ni mbepari na ndio wanajiita 1st world include us na western europe n washirika wao na 2nd n Soviet ,china na washirika wao 3rd n wasio fungamana na watu wote like tz not in us nor china remind u sisi hatuna full ubepari au ujamaa nimejaribu kukupa concept ya izo dunia ila kuhusu uchumi tunatumia LDC less development countries au MIC

kama uko apa for argument then be sio kuwa unaonesha kuwa ww n mtaalamu sana kwamba unatoa kitu kwa kuthink sana hapana ww na ss tuko normal tu usifanye kama una akili nyingi utazidi kujiaibisha we tulia kama huwezi kuwa view sio necessary ujibu maana wengine kwenye huu uzi tumejua sehemu fulani watu wamefikiwa na huduma hii mm sio fan wa gvt ya sasa hv tz ila nkiona kuna sehemu huko wamepata kituo cha afya na enjoy kidogo mama zetu watapata huduma nzury sasa hata kama tuko 3rd.... inamean tusipeane taarifa huu uzi ni more than a title maana watu wanaleta project hadi za countrywide


we may have nothing but we can still enjoy wat we have even if its nothing kwanza mambo mengi tunayofanya in both countries watenjoy under 18 huko mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…