Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ wazee wa scandals

 
Hii picha haijakaa vizuri kwa kweli kama mtu wa ku-promote investment!
Sidhani kama alikuwa amekasirika, unajua kwny maongezi wkt mwngne mtu unaweza ukawa unatoa mcctzo fulani hv af by the time upo kwenye mcctzo mtu akikupga pcha unaweza kuonekana km umekacrika kutegemea na pozi zako, ukitaka kupata picha kamili muangalie yule wa pili pozi lake linaonekana kama anaeshukuru kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…