Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni noma........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanavituko sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale polisi wa kenya hawana tofauti na majambazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani ukitaka ujue kenya hovyo angalia wakenya walivyojaa Tanzania alafu wanajiita wakurya au wajaruo wa Mara. Wengine wamezamia zanzibar sana wengine mashule mengi wamejaa wakenya hasa international schools.

Kama kenya kungekuwa safi raia wao wangelaa hukohuko.
Sio kwa ubaya kuja kwetu lakini ukiona jirani yako kutwa yupo nyumbani kwako ujue kwake kuna shida.

Ile moral love ya Tanzania tuliyokuwa nayo sasa inayeyuka kwasababu ya hawa wavamizi.

Alafu kuna mtu anafananisha kenya na Tanzania kweli!!!!!!!
 
Please give the name of this place... I would like to search it myself.

Road names: Ohio street, Bibi titi Mohamed and Ali hassan mwinyi roads.
Buildings: NMB HQ, Uhuru Heights and parts of Viva tower. Peugeot House


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…