tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ha ha ha ha umeshaanza hisi unachukiwa?wewe uchukiwe kwa shida gani sasa maana kama ni ujinga ni hasara ya familia yako kama ni akili ni faida ya familia yko ,fanya yako hapa sio vitani. ..Penye ukweli nyoosha usiwaze kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app

