Hehhehe silaha nzito ile ๐๐๐๐Mission impossible.
Ila katika maisha yangu sijawah kukutana na mtu kilaza kama Teargass hahhahaha๐๐๐
Tanhouse hapo ๐๐Unaumwa ww unapajua hapo au unaongea tu, naona ban ishaisha mda wake![]()
Ukweli gani mpuuzi huyo yani kilaza ๐๐๐Anawapea ukweli unabaki unababaika na maneno hapa kwa ๐๐๐


. Kubali tu yaishe.
So kwa akili yako yote ya kuzaliwa umeona jengo lote halo kwanzia chini mpaka juu aisee muna matatizo kichwani nyinyi![]()
Picha mbili sawa at different angles. Kila siku inajidhihirusha jinsi Dar ni a small concrete jungle.
Peleka ujinga yako mbali wewe. Underground floors huwa hazikuwi counted.Hili jengo lina underground floor ambayo Maisha club ipo!


Naona leo unataka kulia.
Hvo ndivo wanahesabu so kwa akili yako jengo lote umeniona yani sijawa ona kilaza kama ww![]()
TPA 40
PPF 37
PSPF 35
PSPF 35
MNF 32
MNF 32
MZIZIMA 35+
MZIZIMA 35
RITA 30
MILLENIUM 30
within 12 yrs of developments![]()
Yani nimecheka sana sijawah kukutana na mtu kilaza kama wewe
Uhehhehehhe aliejenga sio mm๐๐๐๐
Hebu even look the style of that building unaeza heaabu unajua kuna floors ngap hapo infront of that parking area yani kama hvo ndio wanahesabu floors bro umefeli ๐๐๐๐๐
Ilo jengo Ni kali sana,yaani nairobi na kelele zote hakuna mjengo mtamu kama huo
Ichoboy I trust my eyes most. Ebu point any floor nimeacha.Uhehhehehhe aliejenga sio mm๐๐๐๐
View attachment 1357592