mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Weka ingine nikuonyeshe ground view.Ukhekhekheke usilie basi budaa😁😁😁
Weka ingine nikuonyeshe ground view.Ukhekhekheke usilie basi budaa😁😁😁
Ndio hapo ushangae sasa ndio maana nakwambia huyo ni kilaza wa aina yake🤣🤣🤣🤣
Dawa ya kujitia ujinga kichwani 🤣🤣🤣🤣Leo nimeeka dawa kali kwenye mdomo wako, utabweka ukitema hadi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuinesha pics kwa ground alitaka kuona 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
Weka ingine nikuonyeshe ground view.
LOL, You didn’t get it , yet you have the audacity to jump into a conclusion. Most of people who liked the Photo know what is Happening here .
Its road expansion and How it will change this area.
Watu wanafurahia patakavyokua bomba.
View attachment 1357600
View attachment 1357601
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuko na slum zaidi ya Hii umeweka hapa. Weka Pspf nikuonyeshe Chipsi mayai mlangoni mwa Jumba Hilo.
Siwezi hesabu floors kwenye picha ikionesha 500m away bro never ever hio akili ni yako pekeako 🤣🤣
Even Times Tower pia imeandikwa ni 35f but in reality ni 33f. So spare us your stupidity with those your screenshots.Dawa ya kujitia ujinga kichwani
Umetoka kwenye 35 umekuja kwenye 37 bado utaelewa tuView attachment 1357611
🤣🤣👇👇👇👇👇👇 unalia nn sasaTuko na slum zaidi ya Hii umeweka hapa. Weka Pspf nikuonyeshe Chipsi mayai mlangoni mwa Jumba Hilo.
Si eti huwezi, kuhesabu vitu ndio hujui.Siwezi hesabu floors kwenye picha ikionesha 500m away bro never ever hio akili ni yako pekeako![]()
Imeandikwa na nani aliejenga au????😁😁😁Even Times Tower pia imeandikwa ni 35f but in reality ni 33f. So spare us your stupidity with those your screenshots.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhahahaa from 35 now 37 unaona vile unavojidanganya watu hawahesabu floors kipuuzi kama wewe 😁😁😁😁😁
Imeandikwa na nani aliejenga au????
Aliejenga anasema TPA 40
PPF 37 so nikuamini wewe![]()
Ebu nionyeshe penye nilicount nikapata 35. Leo usipolia basi utatapikaAhahhahahaa from 35 now 37 unaona vile unavojidanganya watu hawahesabu floors kipuuzi kama wewe![]()


🤣🤣👇👇👇👇👇👇 unalia nn sasaView attachment 1357612View attachment 1357613