babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Huwezi nikumbusha chochote mjinga wewe,It's not about kujitetea bongolala. Just wanted to remind you, or rather tell you that kupata lipstick is something that happens world over, even in more developed and advanced cities than Nairobi or Dar is slum.
Huwa sikurupuki ovyo wala huwa sijibu kitu bila kufanya angalau kauchunguzi kidogo tu,
Niko smart kweli kweli,
Umeleta barabara za BRT tena zinazofanya kazi halafu unataka ufananishe na hizo lipstick zenu 😂😂😂
Mahindi ya GMO yanawaharibu uwezo wenu wa kufikiri na wala hamjiongezi,
Unafikiri BRT ni kama kunya kwenye flying toilet.




,tena hapo without filter