tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Leta ushahidi wowote wa kiserekali Kia kenya inajenga BRT bro hakuna mjinga humu ndani never ever😁😁😁😁😁Kwa hivyo hiyo picha nimekuletea si ya kenya? Ni ya Tanzania? Are you the same person who ignorantly said that's Nairobi-Nakuru highway?
According to 2019 census results by KNBS, Kibera Sub county with an area of 12.1km² had a population of 185,000. Now tell me how Kibera slum with an area of 2.5km² ikuwe na 250,000. Remember Kibera slum is one of the wards(Lindi) in Kibera Sub county. Other places that bring the population to 185,000 are Upper hill, Woodley and Nairobi West.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishafeli kilichobaki kakimbilia kwenye story za lipstick.......Jamani watanzania kama Nicxie atanionesha signboard yoyote Kenya wakijenga BRT mm nafunga account jamii forum naombeni Nile kiapo![]()
Labda stations zao walitaka kujenga angani.....So show me hapa thika, stations mungeeka wapi mbinguni au na mbona mpaka leo hakuna kinachoendelea unajua kwannmulidhani BRT ni kula gutheri
View attachment 1353982



Na viboko juu viwe ni mwendelezoIs this having floor over floor au swali hukuelewaaise nyinyi munahitaji maombi



Wakenya ni vibaraka Siku zote na kazi za vibaraka siku zote ni hufuata upepo vigeugeu...kama inajengwa kwa pesa za kenyatta ni sawa signboard kutokuwepo. time will tell the truth!
afu juzijuzi tu si ulisema nyie hamna haja ya BRT? vip leo unatetea kuwa inajengwa?
Nakumbuka mamlaka nchini kenya zilipeleka wanajeshi na silahakukabiliana na Nzige
Basi wakawa wanawaua kwa risasi
Sent using Jamii Forums mobile app








daaahh....wakaacha shughuli za kupambana na alshabab....wakaingiza vita kwa nzige....Screenshot hiyo sehemu nilisema we don't need brt. What I said jana is that we didnt need at the time Thika road was being built. Is that the same with what you are saying here?kama inajengwa kwa pesa za kenyatta ni sawa signboard kutokuwepo. time will tell the truth!
afu juzijuzi tu si ulisema nyie hamna haja ya BRT? vip leo unatetea kuwa inajengwa?
WTF is Floor over floor? Kumbe ni vocabulary hapo bongo!.😂 😂. It's called three level interchange. Tutawaelimisha hadi lini?mbn nilijua atanionesha hii, ile kitu ya ubungo hailipiki kirahisi mzee, inaytwa floor over floor, hii vocabulary ndo ckuwa nayo.

The question you should be answering is this: Were you aware that lipstick kupakwa kwa barabara is a normal thing? Hizi povu zote labda ufue nazo nguoHuwezi nikumbusha chochote mjinga wewe,
Huwa sikurupuki ovyo wala huwa sijibu kitu bila kufanya angalau kauchunguzi kidogo tu,
Niko smart kweli kweli,
Umeleta barabara za BRT tena zinazofanya kazi halafu unataka ufananishe na hizo lipstick zenu 😂😂😂
Mahindi ya GMO yanawaharibu uwezo wenu wa kufikiri na wala hamjiongezi,
Unafikiri BRT ni kama kunya kwenye flying toilet.
Is it a lie that TPA was designed by a Kenyan company? Always denying even obvious things!As if it’s a Charity! 🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Is it a lie that TPA was designed by a Kenyan company? Always denying even obvious things!
So umekubali inejengwa 😂 😂 😂 😂Denial as usual, no wonder!
Usitudanganye sasa kama munajenga BRT kwann munadanganya mchana kweupe au munafkiri hapa ni nairaland 😁😁😁😁😁😁Screenshot hiyo sehemu nilisema we don't need brt. What I said jana is that we didnt need at the time Thika road was being built. Is that the same with what you are saying here?
Fact remainsAs if it’s a Charity!, At leas “Thank you for the Business TPA” Ingekua poa sana .
Sent from my iPhone using JamiiForums

Ushaelewa sana ila inajitia upupu😁😁👇👇WTF is Floor over floor? Kumbe ni vocabulary hapo bongo!.😂 😂. It's called three level interchange. Tutawaelimisha hadi lini?