Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe pia rahisisha Kazi. Niambie hiyo ni Nairobi-Nakuru highway gani ambayo ilikuwa under construction in December wakati ulipita hapo?
Uhehehhe nimekwambia BRT sio githeri usifkiri unaamka na bangi zako unaanza kuongea upupu humu ndani😁😁😁😁
 
Badala ya kutumia lugha ya matusi si utusaidie kuhesabu 37 floors hapa View attachment 1353690

How can I dispute the contractor’s data, Tena yeye ni design and Build project, Subiri siku nikienda ntapiga picha Kwenye lift nione number of floors . Siwezi kuhesabu kwa nje na kuconfirm . I’m just relying on the information from the people responsible for the tower .

Like this one .

Ungeniona wa ajabu kama nimetoa kwenye blog au wikipedia. Estim wameweka data za projects zao zote . Mpaka Hotel Verde . Go to their website and challenge them .

Adjustments.JPG


Adjustments.JPG


Adjustments.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom