Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtanzania hawezi nifundisha kitu, especially wewe hapo. What lesson can a man who calls a squalor a dream house teach anyone? Absolutely nothing. Deal with your filthy dream houses. We ain't boarding
Ni kawaida kwa chokoraa kama weww mwenye ukichaa kamwe huwezi kufundishika...
.....life inakuchapa sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya dream houses hatuna kaka. Mbona unataka tufanane? Wewe endelea na maisha yako ya uchochole ya kuishi kwenye squolar that you proudly call a dream house. Inakasirisha ila ndio hivyo basi
Tupo proud na dream house zetu sio hayo Maboksi ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama ambayo humo ndani ukipumua hali ya hewa inaharibika kabisa 😂😂😂
 
Na hizi chocha zote Mombasa ina port kubwa kuliko Dar and its the 2nd largest city in Kenya while Dar is the main city in Tz.
 
Back
Top Bottom