babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,307
- 35,736
Ni wivu halafu wana ile tabia ya kutopenda kuona nchi zingine zikifanya vizuri 😂😂😂😀 Wanataka kubisha ukweli kutoka kwa waliopima vipimo na kusimamisha jengo
Wanapenda kuficha vichwa vyao kwenye mchanga.