Kibera wanaishi watu laki mbili na nusu lol iyo ni zaidi ya wakazi wote Moshi municipal ,
Kibera wanaishi watu million mbili na laki tano bro 60% ya wakazi wa Nairobi wapo kiberaKibera wanaishi watu laki mbili na nusu lol iyo ni zaidi ya wakazi wote Moshi municipal ,
Sasa kama kweli mnaakili mnakwama wapi kuondoa iyo slum? Mnamiradi mingi sana kenya kwann hamjaweza kubadili taswira ya kibera ambayo inawapa doa ,akili zenu mnazitumia kuvuka barabara tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi napenda ikulu zote Dar na Dodoma ziwe active maana Dar bado ni ya kimataifa na mabalozi wapo hapoHuyu mzee naye aache uzushi! Zile nyimbo za kuhamia Dodoma zimeishia wapi? Au ndo kupunguza gharama huku kusafirisha mawaziri na maofisa wa Wizara na serikali kila siku kuhudhuria uapisho Magogoni! Awe mkweli uhamisho wa serikali Dodoma ulikuwa changa la macho! Binafsi sijapenda kukengeuka na kugeuka kwake huku juu ya suala zima la kuhamia Dodoma! Akakae Dodoma kama baraza lake la Mawaziri linavyoishi huko!
And that is just an approximation, it could accommodate more than what is shown in that figure.Kibera wanaishi watu million mbili na laki tano bro 60% ya wakazi wa Nairobi wapo kibera
CBD naona mtindo ni Chipsi mayai Tena nje ya Zile towers zenu mbili.One pic kilimani upper hill na CBD ndani😁😁😁
CBD naona mtindo ni Chipsi mayai Tena nje ya Zile towers zenu mbili.
View attachment 1352599View attachment 1352600
Hapa naona lami iko kwa highway huko kwingine kwa wananchi ni vumbi na matope
View attachment 1352601
Tanesco soko la samaki area dar👇👇👇
Wanakuja hapa nye nye nye 😁😁😁😁View attachment 1352565View attachment 1352566View attachment 1352567View attachment 1352568View attachment 1352569View attachment 1352571View attachment 1352572
Bora anaeuza chips kuliko huyu akipokea mikwaju ndani ya nchi yake👇👇👇😁😁😁CBD naona mtindo ni Chipsi mayai Tena nje ya Zile towers zenu mbili.
View attachment 1352599View attachment 1352600
Hapa naona lami iko kwa highway huko kwingine kwa wananchi ni vumbi na matope
View attachment 1352601
Hebu wapigie Simu waieke hapa plz😁😁👇👇Idadi ndogo sana ukilinganisha na 6million slum dwelling population of Dar ea sluum City slum.
Bora anaeuza chips kuliko huyu akipokea mikwaju ndani ya nchi yake👇👇👇😁😁😁
Mkipewa mambo mazuri munakasirika😁😁Tanhouse mlimaliza Zile slums zimeizungukaView attachment 1352609View attachment 1352609
Hamna Nchi LDC kwnye hio list???Hebu wapigie Simu waieke hapa plz😁😁👇👇
View attachment 1352610
Tunazungumzia binaadamu wanaoishi maisha zaidi ya nguruwe 😁😁😁😁👇👇👇Hamna Nchi LDC kwnye hio list???
Very good 👏👏👏👏 mkenya wa kwanza kuzoom nimefurah sana 😁😁😁😁😁
Kule kwao hamna mitaa kama hii ndio maana huwa hawapost 😂😂😂 zaidi ya zile unfinished buildings au Yale Maboksi ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama (estate)Viwandani area dar👇👇👇👇View attachment 1352529View attachment 1352530View attachment 1352531View attachment 1352532View attachment 1352534
View attachment 1352541View attachment 1352543
View attachment 1352550View attachment 1352551View attachment 1352552View attachment 1352554View attachment 1352555
Hio no Dar CBD 😂😂 Chipsi mayai kando ya pspf towersVery good 👏👏👏👏 mkenya wa kwanza kuzoom nimefurah sana 😁😁😁😁😁
kwa maana hiyo capital city ziwe mbili! duh!Mimi binafsi napenda ikulu zote Dar na Dodoma ziwe active maana Dar bado ni ya kimataifa na mabalozi wapo hapo