Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ruai slums....lol.Wacha niishi slum basi
Screenshot_20200209-185709_Earth.jpeg
Screenshot_20200209-185641_Earth.jpeg
Screenshot_20200209-185632_Earth.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kibera UK - Providing information to charity workers. β€Ί facts-info
Matokeo ya wavuti
Some facts and stats about Kibera, Kenya | Kibera UK
Ni lini utaacha ujinga? First hujui kusoma and second you are extremely stupid. Here is what Igot in your link, the article estimates the population to be 250,000. Remember that`s estimation, ama hujui estimation ni nini?.
 
Na ya tatu dunianiπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
How they failed to do the same with Dar is still a mystery
Miaka ya 80 wakati uchumi ukiharibika (viwanda vingi vilifungwa). Vijana wengi waliacha kulima na kukimbilia Dar. Hakukuwa na mpango serikalini kukabiliana na ongezeko kubwa la watu.

Watu wakajijengea hovyo ila sasa serikali imeanza kubadilisha hilo, mfano pale magomeni wameanza kubomoa nyumba na kujenga maghorofa. Pia kuna mradi wa DMDP unaoboresha barabara na masoko.
 
Ni lini utaacha ujinga? First hujui kusoma and second you are extremely stupid. Here is what Igot in your link, the article estimates the population to be 250,000. Remember that`s estimation, ama hujui estimation ni nini?.
Alaf iwe ya tatu duniani kirahisi tuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜
Na ya tatu dunianiπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hehe mmesema 2.5 million wamejificha hapo kibera.....the only problem is you tanzanians and ngos don't even agree on a single figure..tunaweza waandalia mkutano na ngo za propaganda mkubali na figure moja ya kupikwa
aawaopi hii maneno ya kutoa excell ya sonko pelekea mamako! naamini data za credible institutions like UN Habitat!
Screenshot_20200209-190757_Earth.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom