Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
 
hapo ndipo unapo wauwa washamba wakikenya maana wanakazania apartment mbona hawaleti mijengo ya nyumba za raia wanaomiliki houses....au kibera pekee bdyo wpo wanaomiliki ....nyumba wengine wote waliobaki ni wapangaji
.....mkuu hii hoja tuanze nayo aisee
 
tuanze na hii tunataka maisha ya nyumba halisi zinazomilikiwa na mkenya mmoja mmoja

twende nao kaka....maana wakenya ni maskin hafu wanatupigia kelele hapa
 
It has moved from comparing the two cities to individuals..
.Tanzanians mko na issues kwelikweli. Endeni Nairaland muone vile watu hureason
 
It has moved from comparing the two cities to individuals..
.Tanzanians mko na issues kwelikweli. Endeni Nairaland muone vile watu hureason
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwaka mbaya huu
 
hahahahaha... kwa taarifa yako, hawa wakenya wote wanaokomenti hapa ni wapangaji waliopanga katika nyumba zinazo milikuwa na wakikiyu wachache pale Nairobi.
hata Edward Wanjala(mtu mwenye njaa) nina uhakika wa 100% hana nyumba yake binafsi pale nairobi.kapanga kule dandora kwenye ka-one bedroom house.mwisho wa mwezi anaanza kutafuta sababu ya kumdanganya caretaker mkikuyu pale atakapo kuja kudai pesa yake.[emoji23] [emoji23]

wanaomiliki nyumba Nairobi ni elite politicians and some prominent business people only.

huu ukweli hata kaka yangu,mkongwe MK254 anaufahamu na hawezi kubisha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

baadhi wanajitutumua kujenga "ushagoo/mashinani" lakini sio nairobi.kupata ardhi ya kujenga nairobi sio jambo rahisi.
 
DAR ILIVYOKUWA NA BALAA YAANI INAIKOJOLEA NA KUINYEA NAIROBI ....KWA DHARAU

Huku tuna surburb pia tuna majumba kama wanayoyaonyesha manyumba yaliyofananafanana kama jezi za taifa....wao nyumba ya mmiliki mmoja mmoja haguzioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It has moved from comparing the two cities to individuals..
.Tanzanians mko na issues kwelikweli. Endeni Nairaland muone vile watu hureason
we mshamba wakikenya mmeleta hapa nyumba za maboss wenu ama napenda kuziita hostel ....hebu leteni na nyumba ama mitaa yenye nyumba zinazomilikiwa na mmoja mmoja.....nyie bado sana aisee ni maskini na mtapanga mpaka kiama kuanzia mama mpaka vitukuu
 
It has moved from comparing the two cities to individuals..
.Tanzanians mko na issues kwelikweli. Endeni Nairaland muone vile watu hureason
wewe endelea tu kutazama picha huku ukiji-console,you have nothing to contribute.
tazama picha za nyumba binafsi zinazomilikiwa na wakazi wa dar.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye nyumba za wakazi wa kawaida utakimbiza wa Kenya humu
Maana wao wamezoea zile za kupanga wanazo tuma humu zimefanana kama dormitory za primary's schools
 
Kwenye nyumba za wakazi wa kawaida utakimbiza wa Kenya humu
Maana wao wamezoea zile za kupanga wanazo tuma humu zimefanana kama dormitory za primary's schools
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwaka mbaya huu
hawa mim nawaambia leo tunataka watuonyeshe dizain ya mitaa kama yetu kwa wanaomiliki raia wakikenya nyumba moja moja ili tuwacheke vizuri maana tokea thread nianze kuifuatilia sijawah ona zaidi naziona apartment zao tu ama hostel ...leo tuwakabe tunataka street lyk masaki,oysterbay,mbezi,mbagala,kigogo.......maana hawazilet hapa

au kibera ndyo wanapomiliki nyumva ya mkoja mmoja
 
asa mbona wanajikuta bora zaidi bila ya haibu.....hebu twende nao kwa hii sera watuletee
 
Attachments

  • isk.jpg
    51.2 KB · Views: 35
  • isk1.jpg
    19.7 KB · Views: 41
  • isk c.jpg
    15.9 KB · Views: 43
  • isk in.jpg
    56.5 KB · Views: 39
  • mombasa lite.jpg
    43.4 KB · Views: 47
asa mbona wanajikuta bora zaidi bila ya haibu.....hebu twende nao kwa hii sera watuletee
wataleta zile zinazomilikiwa na wanasiasa na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaoshi kule westland,lunda,ravington,karen n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…