Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shida serikali ya magu ina allergy na uwekezaji wa majengo,hii miradi ya nhc,nssf etc imesimama toka anaingia na haieleweki lini itaanza tena,nssf wametangaza kupiga mnada huku wabunge wakilia lia bungeni serikali itoe pesa kwa nhc wamalizie miradi
Wangekamilisha hii miradi ingetoa sura nzuri ya jiji
 
Unajua sababu kubwa ni nn mikataba mibovu ilikua na faida kwa nchi mradi wa billion 10 mtu anaandika billion 25 alaf unataka waachiwe
 
shida serikali ya magu ina allergy na uwekezaji wa majengo,hii miradi ya nhc,nssf etc imesimama toka anaingia na haieleweki lini itaanza tena,nssf wametangaza kupiga mnada huku wabunge wakilia lia bungeni serikali itoe pesa kwa nhc wamalizie miradi
Wangekamilisha hii miradi ingetoa sura nzuri ya jiji
Tatizo ilifika mahali wastaafu walikuwa hawapati mafao kwa hiyo new audit ilihitajika kuona wapi magumashi yalifanyika kwenye mikataba!
 
Mdogo mdogo 👏👏👏👏👏

Waangalie uwezekano wa kuingia Eastern DRC! Kuna biashara ya kutosha na itaongezeka pindi miradi ya miundombinu ya reli na meli inakamilika pia Air Tanzania itaanza kuruka kwenda Lubumbashi na Kinshasa karibuni.
 
Hii ni mara ya ngap unauliza upumbavu wako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nssf complex moshi
Just like I said, it is not a mall. The building only have a supermarket, nothing else. Anyway this is Rupa mall, Eldoret.
IMG_20200203_095352.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude, naandika ninacho kifahamu na kukijua na kukiona kila siku na sio Vitu vya kuadisiwa vijiweni kama wewe,
Mimi ni mmoja kati ya youtubers wakubwa ukanda huu,
Muda huu naangalia reports hapa
Tanzania niko na views 358,387 Es $215.07
Then Kenya views 254,137 Es $70.46
Cost per click Tz iko 0.04
Natamani sana inge kuwa sio hizi fake Id Angalau ufike ofisini kwangu uje kuondoa huo ujinga kichwani
Huyo chizi achana naye..anajifanuya anajua vitu kumbe kichwani empty
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba is just surviving coz of the omani Arab called Dewji......yanga is as broke as hell for your information. Infact there's no tanzanian club that uses domestic flights to other cities....Gor has money but Rachier and co steal with no mercy.But on matters competitive Tanzanian clubs are just good within tanzanian border....outside of Tanzania nobody even knows of their existence

Sent using Jamii Forums mobile app
wtf domestic flights?
Wakenya ninyi ni washamba deep in the blood veins, washamba xd
 
Back
Top Bottom