babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Nimekumbuka msemaji mkuu alivyo kuwa anazungumzia aina ya vichwa na mabehewa ya treni waliyo yaagiza alisema "Kuna nchi yamewakuta" 😂😂😂 treni zao ni mafuta mazito tu.Hahahhaha yani wamekosa raha mm nakwambia huu mwaka ekeni maneno yangu kama akiba mama mutawaona humu mutakuja nambia🤣🤣🤣🤣