Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,949
Is mzungu god? My friend you need to go for a brain check up. So anything a white man says is correct?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
US sio Mbinguni, Wamarekani mafala sana, Watz wataenda South Africa, Asia na Marekani ya Kusini instead. Wakafie mbali.
Ushoga, Uhuru wa kujieleza, uminyaji wa upinzani na wanaharakati ndio sababu kubwa, tutegemee majina mengine ndani ya siku zijazo, wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, hasa usalama wa taifa.
Katika hili tunastahili wala tusimtafute mchawi, dunia imepiga kelele sana kuhusu hali ya Uhuru na demokrasia, serikali imeendelea kupuuza na kutuaminisha kwamba mabeberu wanatuonea wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hawakufa coz mtu ni mtu tu, MUNGU kwanza. Ushoga, usaliti ni big NO.Ignorance is bliss. That's all I can tell you and your folks.Fanya ufungue account Google Earth then edit uweke slums kwa Dar utuletee hapa, maana unataka kutuambia Mtanzania ndio aliye edit akaweka slums Nairobi 😂😂😂😂
That's why I asked you to identify different uses of these views, unfortunately your education system is useless for solving your problems, is designed to benefit whites and few elites. How can you use a pen to replace a needle?. You can't use aerial views to show a real picture of slums and poor sanitation.That's a self-defeating statement. Tunaficha ukweli gani kuhusu mitaa yetu while an earial photo is supposed to show the real picture of a large area from above? I know you you people loathe earial views and would use everything to dismiss them including asking us to zoom.
I will NOT stop posting those aerials anytime soon as long as I am still here so expect more from me. It shows your city in its nakedness, something you don't want the world to see about New York of Africa
Wakenya wenye Akili zaoati kile choo pale JKIA ndo unakipa promo namna hii!
Now you know who the stupid one is between you and IHuyu mjinga Kuna siku alisema kila mtu anaweza kuingia Google map aka edit na kuweka hizo slums,
Nikamuambia basi ingia then edit uweke slums Dar 😂😂😂 huwezi amini hadi leo hii bado hajaedit,
Yaani ukitaka wakimbie waambie wathibitishe kitu.
Also called housing estste, an estate is just a residential area or mtaa kwa kiswahili. What's so hard to understand there? Ama unafikiri lazima iwe large, single property worth hundreds of millions ndio iitwe estate? Read below maybe you'll understandKabla sija kujibu can you define what is an estate?
Haya edit sasa uleteNow you know who the stupid one is between you and I View attachment 1343074
Now you know who the stupid one is between you and I View attachment 1343074
He forgets that's a political bait meant to hoodwink voters like him this electioneering yearAcha kutupigia kelele na handle ya CCM, siasa2020 nd'o nini? These are sycophants handles that tries to confuse your head in order to vote in Magufuli in 2020. Everybody is aware that Tanzania is growing at 4%.
Sent using Jamii Forums mobile app
I just wanted to prove to you that you are the stupid one here. You talking about things you have very limited information about, if anyHaya edit sasa ulete
Ignore him. He own monopoly of stupidity.He forgets that's a political bait meant to hoodwink voters like him this electioneering year
Eti "mzungu sio mtu mjinga kuweka satelite angani na aone slum Nairobi na akose kuona Dar..." They even don't know that Google doesn't even have a satellite of its own. They get those images from third parties. The way these people reason can live you to regret why we even have them as neighbours. They are very green in most things yet want to appear as the most informed people on earth. What a waste of human brain!These Tanzanians learn a lot from Kenyan. They didn't know that ndio maana they are yapping here.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usituchanganyie kiswahili hapa, mtaa sio estate, mtaa mmoja unaweza kuwa na estates kibao. That's why mnaita hata slums estatesAlso called housing estste, an estate is just a residential area or mtaa kwa kiswahili. What's so hard to understand there? Ama unafikiri lazima iwe large, single property worth hundreds of millions ndio iitwe estate? Read below maybe you'll understand
![]()
Housing estate - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
buda, you know one thing I've noted about you is that you either got a windfall recently or just plain stupid. Now what will the countries that I have visited help in this discussion? will it take away the fact that JNIA is just a single terminal of JKIA?
Mbona hakuna ambaye huwa anamkosoa mmarekani au yeye ndio anajua kila kitu na killa anachofanya ni perfect?Muhimu sio kwenda au kutokwenda, muhimu ni kile wanachokisema na kukisimamia. Lakini ukweli ni kwamba USA ni nchi muhimu kuliko zote, ni China pekee inayoweza kuhimili misukosuko ya USA kiuchumi, wakiongeza " pressure" kidogo tu kwa Tanzania, lazima chupi zitaanza kutubana, lazima tuwe tinakubali kukosolewa, tuachane na kiburi cha kijinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's why their education system is the worst in the continent. Their arguments are very shallow and immature.Eti "mzungu sio mtu mjinga kuweka satelite angani na aone slum Nairobi na akose kuona Dar..." They even don't know that Google doesn't even have a satellite of its own. They get those images from third parties. The way these people reason can live you to regret why we even have them as neighbours. They are very green in most things yet want to appear as the most informed people on earth. What a waste of human brain!