Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass I told u budaa😀😀🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇

Mapovu mujarab kabisa😀😀😀👇👇👇👇

Sinimesema hapa ushoga ndio point kubwa sana ila wanajifanya kuwavisha waislam kofia waonekane wabaya

Ushoga, Uhuru wa kujieleza, uminyaji wa upinzani na wanaharakati ndio sababu kubwa, tutegemee majina mengine ndani ya siku zijazo, wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, hasa usalama wa taifa.

Katika hili tunastahili wala tusimtafute mchawi, dunia imepiga kelele sana kuhusu hali ya Uhuru na demokrasia, serikali imeendelea kupuuza na kutuaminisha kwamba mabeberu wanatuonea wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Looks like this hahaha "ESTATES" 😂 View attachment 1342872
Your image is too bright which I believe is intentional to spruce up a few things 😂 😂 😂 Vitu Kwa ground ni tofauti.
Screenshot_20200201-083438.png

Compare with an image Of Nairobi below covering a wider area
Screenshot_20200201-082609.png
 
Ushoga, Uhuru wa kujieleza, uminyaji wa upinzani na wanaharakati ndio sababu kubwa, tutegemee majina mengine ndani ya siku zijazo, wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, hasa usalama wa taifa.

Katika hili tunastahili wala tusimtafute mchawi, dunia imepiga kelele sana kuhusu hali ya Uhuru na demokrasia, serikali imeendelea kupuuza na kutuaminisha kwamba mabeberu wanatuonea wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini joto ukiangalia kwa upande mwengine mabeberu sio watu wanaoitakia Africa manendeleo hili pia liangalie bro
 
Your image is too bright which I believe is intentional to spruce up a few things 😂 😂 😂 Vitu Kwa ground ni tofauti. View attachment 1342970
Compare with an image Of Nairobi below covering a wider area View attachment 1342971
Leta vitu kwa ground tuone kwann mzungu anaita kuna slums Nairobi na dar hakuna😀😀👇👇👇
Screenshot_20200131-232935_Earth.jpg
 
Mkenya hili haoni ajabu anaona ajabu makonda kupigwa ban kwenda america😀😀👇👇👇

LOL kwanini huzoomin mabibo kama unavyozoomin slums-estates zenu? 😂
Huwa mnanishangaza mkisema tuzoom. Tuzoom ndio nini ifanyike? 😂 😂 😂. Sawa basi ndio hiyo nimezoom ya Mabibo. Is there anything different? Mabibo bado ni ile ile tu ya dream houses thrown left right and center in the most disorganized and confused manner. Do you want me to zoom it further? 😂 😂 😂
Screenshot_20200201-083620.png
Screenshot_20200201-084134.png

Now compare with Old Donholm below deep in eastlands Nairobi (also zoomed image).
Screenshot_20200201-084600.png

The difference is like black and white
 
Huwa mnanishangaza mkisema tuzoom. Tuzoom ndio nini ifanyike? . Sawa basi ndio hiyo nimezoom ya Mabibo. Is there anything different? Mabibo bado ni ile ile tu ya dream houses thrown left right and center in the most disorganized and confused manner. Do you want me to zoom it further? View attachment 1342975View attachment 1342974
Now compare with Old Donholm below deep in eastlands Nairobi (also zoomed image).
View attachment 1342977
The difference is like black and white
Hivi hujapona matatizo yako ya akili, au tatizo ni shule zenu kutoa kipaumbele kufundisha ukabila na kiingereza zaidi?. Unaambiwa zoom ili tuone mazingira na NYUMBA halisi, wewe unatuonyesha mabati na vigae kwa juu, sasa hapo utajua vipi hali ya NYUMBA, uchafu na kama kuna utiririshaji wa MAJI machafu?.

The apple doesn't fall far from the tree, if you know what I mean. Secondly, why do you expect a miracle where a miracle can't and will never happen? How much do you want me to zoom more than I have already did? Mnataka nionyeshe hadi ndani ya hizo nyumba ndio mridhike ama? (which is impossible). Those are aerial shots from google earth. Unataka nionyeshe aje hali ya nyumba from an image taken at that angle zaidi ya vile nimezoom already? Acha kutumia akili kama bakuli na kulazimisha mambo. Your city is a mess. Accept and move on
 
Lakini joto ukiangalia kwa upande mwengine mabeberu sio watu wanaoitakia Africa manendeleo hili pia liangalie bro
Hapana kaka, sisi ni mataifa machanga sana katika kila kitu, sio tu katika uchumi, technolojia, bali hata katika uwezo wetu wa kufikiria, na hilo la uwezo wetu mdogo katika kufikiria ndiyo linalotufanya kuendelea kuwa wachanga miaka mingi zaidi.

Ukweli ni kwamba, sisi tumekua na tabia ya " cry baby syndrome", tunahisi kuonewa kila wakati, hatukubali kukosolewa hata kwa makosa yaliyo wazi kabisa, tunaoenda kuonyesha dunia kwamba sisi hatuna matatizo kabisa, kwamba matatizo yetu yote husababishwa na wazungu.

Uchanga wetu ambao ni tatizo zaidi ni uchanga wa akili. Nchi zilizoendelea wamepevuka sana akili zao, watakusifia pale unapofanya vizuri, na watakukosoa pale unapofanya vibaya bila hata kukuonea aibu au kukupendea, hilo ndio tatizo letu sisi waafrika na nchi za dunia ya 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzanians are just sick......how they don't see how ugly and underdeveloped their ldc city of dar is is beyond human understanding
Huwa mnanishangaza mkisema tuzoom. Tuzoom ndio nini ifanyike? . Sawa basi ndio hiyo nimezoom ya Mabibo. Is there anything different? Mabibo bado ni ile ile tu ya dream houses thrown left right and center in the most disorganized and confused manner. Do you want me to zoom it further? View attachment 1342975View attachment 1342974
Now compare with Old Donholm below deep in eastlands Nairobi (also zoomed image).
View attachment 1342977
The difference is like black and white

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The apple doesn't fall far from the tree, if you know what I mean. Secondly, why do you expect a miracle where a miracle can't and will never happen? How much do you want me to zoom more than I have already did? Mnataka nionyeshe hadi ndani ya hizo nyumba ndio mridhike ama? (which is impossible). Those are aerial shots from google earth. Unataka nionyeshe aje hali ya nyumba from an image taken at that angle zaidi ya vile nimezoom already? Acha kutumia akili kama bakuli na kulazimisha mambo. Your city is a mess. Accept and move on
Ndio sababu nikakuambia tatizo lenu ni Elimu yenu kufundisha zaidi ukabila na kiingereza kuliko MASOMO mengine.

Hivi unajua "Aerial view photographs" zinatumika wapi na horizontal views zinatumikaje?. Ukitaka kujua hali ya makazi duni au mitaa duni unatumia "aerial view or Horizontal?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom