Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1580334880359.png
 
Hugo chokoraa wakikenya analeta story za umeme wakati wenzao huku kila kitu kipo underway full kupanua maujenzi ya kukuza umeme wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkenya mmoja humu ni mjinga sn eti anashangaa kusikia watu wapo 1800mw na plan zao kuwa nchi ya viwanda anaona kabsa kuna treni za umeme af eti anasema kabsa with confidence "mkifka huko unitag"
 
Ushapima ...lol.Undeni hiyo station yenu ugly polepole.hiyo maybe tupatie kibwezi terminus

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mmefanyiwa hypnosis na wachina aki ya Mungu. Si bure. Mnaingia station, mnapanda escalators zinawapeleka juu, halafu zinawashusha chini tena mpande treni. SMH. Sisi station yetu unaingia chini, kama unataka kupanda mgr train unapanda chini na kama unapanda SGR train unapanda ghorofa ya tatu. Sasa sijui ulikuwa sarcastic ulivyokuwa unasema "ugly" au we ni mpuuzi tu usiyedeserve muda wangu?
 
So tuishie hapa sindio😀😀😀👇👇👇
View attachment 1340269View attachment 1340270
Huyu mkenya alikuwaga anajielewa angalau kuliko Hizi bumunda za humu, embu cheki alivyo wadunga sindano wenzake 😂😂😂
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
mkenya atakayeidharau Tanzania ya leo, atakuwa anafanya makosa makubwa...especially baada ya Magu kuingia mamlakani...Tanzania hii si ile ya zamani...ona tu treni mnazoletewa...ona tu zile bridges....na cha kushangaza ni kwamba, bei ya SGR yetu ya zamani na iliyojaa moshi ni ghali kuliko yenu ya stima...duh itakua kama ulaya vile...mimi sijui wakenya watatokomea wapi itakapokamilika...itakua aibu kubwa sana kwetu especially tunavopenda kuwakandamiza wengine wakati mwingine...😀😀SGR TZ nimeipa tick...sasa mjaribu na station pia ziwe zina match hizi picha..
 
Huyu mkenya alikuwaga anajielewa angalau kuliko Hizi bumunda za humu, embu cheki alivyo wadunga sindano wenzake 😂😂😂
Na huyu ndio alikua mbishi sana kwenye hii thread huwezi amini 🤣🤣🤣🤣 tulichuana nae nikiwa mm na kadoda11 pamoja na annael yani huyu alikua mbishi vibaya sana na ukiona kasanda ujue kashaona mbali🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenya tunakuwanga mbele yenu as usual.....We have 2 champions league winners who are kenyans.....

Mc Donald Mariga....Inter Milan
Divock Okoth Origi....Liverpool

Not forgetting victor wanyama who featured in a champions league final.View attachment 1340217

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upumbavu no research no right to say
[emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-01-30-01-03-04.jpeg
 
Back
Top Bottom